MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
-
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kipindi kile weww ndio msumbufu bas unaona rahaa
hebu vumilia na haya matokeo kaka bas
Aiseeh mi napenda nipigiwe mara nyingi tu lkn amake sure ndani ya hizo simu zake kuwe kuna mbinu za kupata hela na michongo ya maisha.ume observe vzuri sana Chakorii
halaf huyu jamaa wakat wa kuanza mapenzi alikuwa yeye ndii masumbufu na hakuja kulalamika.
hivo wewe huwa unapenda kupigiwa mara ngap per day?
basAiseeh mi napenda nipigiwe mara nyingi tu lkn amake sure ndani ya hizo simu zake kuwe kuna mbinu za kupata hela na michongo ya maisha.
Sio kila saa umekula!umepata break fast!sijui umeenda chooni!sijui nini huko!najua vitu vyote hivyo hata usiponiuliza lazima nivifanye iwe isiwe.
Simu zikiwa nyingi za namna hiyo nitakukinai mapema ingawa sitokwambia.
hahahahaMbona mimi kipindi namtafuta sikumfikiria tofauti ila yeye ananifikiria tofauti
hahahaha
mtafutaj hachoki, hivo sasa yeye ndio anakushikilia usimponyoke na yeye hata choka
kaaa chini tu uzungumze naye umpe ratiba zako utashangaa sim zina pungua tartib
Mmmhhahahaha
wewe ile mida nna mishen maalum
kama kutafuta wauaji wa kibiti, nikifanikiwa tu hutaniona
Aiseeh mi napenda nipigiwe mara nyingi tu lkn amake sure ndani ya hizo simu zake kuwe kuna mbinu za kupata hela na michongo ya maisha.
Sio kila saa umekula!umepata break fast!sijui umeenda chooni!sijui nini huko!najua vitu vyote hivyo hata usiponiuliza lazima nivifanye iwe isiwe.
Simu zikiwa nyingi za namna hiyo nitakukinai mapema ingawa sitokwambia.
mbn hujasema kwann hakuamin
tatizo unalijua ww mwnyw na ww ndo unaweza kulitatua
sent from aifoni seveni plasi
Hahahahaha sidhani kama yuko hivyo.ila mimi binafsi niko hivyo aiseehbas
pengine na bwana Typing amekinai mapemaa
kumbe bas inawezekana
hahahaAnapenda sana kusakua simu yangu akimaliza tu kichwa chake kimejaaa hakiko sawa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa namwambia kukakua simu yangu ipo siku itaku-cost
aaaahMmmh
Mrs Van
hahahahaHahahahaha sidhani kama yuko hivyo.ila mimi binafsi niko hivyo aiseeh
Na kwenye mahusiano inabidi kupeana nafasi ili umisike na mpenzi wako bhana.
Mi jamaa akiwa ananipigia simu za nini tufanye tuingize mkwanja,haki jombaa sitomkinai huyo mtu aiseeh
hahaha
weka paswedi kubwaaaa
ila kaka inaonekana na wewe huaminiki wewe, heb jichunguze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tujarib tuone kama ni usumbufu eeh?
hapo utakuwa umefanya la maanaNataka nitengeneze uaminifu
mna muda gani kwenye mahusiano?? amewahi kujua au kuhisu una mwanamke mwengine??