Kutokujiamini kwa Mrisho Mpoto

Kutokujiamini kwa Mrisho Mpoto

mwenye link atuwekee basi tuitathmini,ingawa binafsi sijawahi kulielewa lile jitu...hivi wana undugu na yule nduli idd amin dada?
au ndio duniani wawili wawili?
 
Ninyi kizazi cha bongoflavour ninyi?

1. Huyu mtu alishasema yeye sii mwanamuziki ila ni mshairi

2.Aliwahi kutolea ufafanuzi ni kwa nini anachanganya na muziki ni kwa sababu kizazi cha sasa hawamuelewi akitumia mafumbo makavu makavu

3. Hivi ninyi mnajifunza mashairi magumu shuleni? hivi mnasoma na kuelewa vitabu vya fasihi vya Shaaban robert na Song of Lawino?

4. Hivi mnafanya maigizo ambayo yamejaa mafumbo matupu ambapo igizo linaanzia mwisho na kumalizikia mwanzo na sehemu ambapo msanii alitakiwa kulia anacheka?

5. Si mnakumbuka baada ya kifo cha mwalimu alighani wimbo mmoja " NENDA MWALIMU" mkashinwa kumweliwa mkamfungia mkadhani alikuwa anafurahi kuondoka kwa mwalimu?

6. Hiki ndio kizazi cha leo na kamwe hamtakaa mmuelewe , hakika maana nasikie siku hizi mnafanya uchambuzi wa kitabu cha mapemzi cha " ZAWADI YA USHINDI" sijui kinatosha kuujenga ubongo na kuelewa tenzi na majigambo ya mrisho?

7. Haya bwana zama ni zenu vijana , fanyeni mpendavyo, pendeni vitu laini, chukueni verse mbili rudia mara 10 nenda studio gongewa beat na producer , tayari albam hiyo, ingia sokoni pata hela, baganoyo ukatafutenini kuumiza kichwa na do-re-mi-fa-so...... , ya nini ujifunze gitaa, tarumbeta wakati hayo yote producer anayagonga na wakati wa kutumbuiza unaiweka cd huku unazuga unaimba... si mapedeshee wa siku hizi wanapandwa na mzuka na kukuzawadia manoti huku kinachoimba ni cd wala sii wewe? chakufia nini?
 
Nani kakwambia huyo ni mwanamuziki?? Huyo ni mwanamashairi (Poet)
 
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.

Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii chipukizi(underground).

Kama anajiamini awe anasimamia wimbo yeye mwenyewe la sivyo aendelee
KUMWAGA RADHI.
Mpoto kuimba mvumo wa radi jana asubuhi tulikula daku halafu Harmonize na Barnaba Simba wakaenda bungeni Belle 9 ametoa wimbo mpya na bombardier ya mwaka jana zitto ametoka Kupiga Simu sasa hivi.
 
Ninyi kizazi cha bongoflavour ninyi?

1. Huyu mtu alishasema yeye sii mwanamuziki ila ni mshairi

2.Aliwahi kutolea ufafanuzi ni kwa nini anachanganya na muziki ni kwa sababu kizazi cha sasa hawamuelewi akitumia mafumbo makavu makavu

3. Hivi ninyi mnajifunza mashairi magumu shuleni? hivi mnasoma na kuelewa vitabu vya fasihi vya Shaaban robert na Song of Lawino?

4. Hivi mnafanya maigizo ambayo yamejaa mafumbo matupu ambapo igizo linaanzia mwisho na kumalizikia mwanzo na sehemu ambapo msanii alitakiwa kulia anacheka?

5. Si mnakumbuka baada ya kifo cha mwalimu alighani wimbo mmoja " NENDA MWALIMU" mkashinwa kumweliwa mkamfungia mkadhani alikuwa anafurahi kuondoka kwa mwalimu?

6. Hiki ndio kizazi cha leo na kamwe hamtakaa mmuelewe , hakika maana nasikie siku hizi mnafanya uchambuzi wa kitabu cha mapemzi cha " ZAWADI YA USHINDI" sijui kinatosha kuujenga ubongo na kuelewa tenzi na majigambo ya mrisho?

7. Haya bwana zama ni zenu vijana , fanyeni mpendavyo, pendeni vitu laini, chukueni verse mbili rudia mara 10 nenda studio gongewa beat na producer , tayari albam hiyo, ingia sokoni pata hela, baganoyo ukatafutenini kuumiza kichwa na do-re-mi-fa-so...... , ya nini ujifunze gitaa, tarumbeta wakati hayo yote producer anayagonga na wakati wa kutumbuiza unaiweka cd huku unazuga unaimba... si mapedeshee wa siku hizi wanapandwa na mzuka na kukuzawadia manoti huku kinachoimba ni cd wala sii wewe? chakufia nini?

Kinachofurahisha, hiki kizazi tunachokisema vibaya hakikujiandikia MITAALA.

Sisi tuliosoma hayo mashairi magumu na vitabu vya KUSADIKIKA ndio tuliobadili na kuwaambia wasome ZAWADI YA USHINDI.

Sisi ndio tuliona hakuna umuhimu wa wao kusoma CHEMISTRY na PHYSICS tukaziunganisha kuwa somo moja.

Sisi ndio tulifuta UMITASHUMTA UMISETA na MIDAHALO mashuleni.

Sisi..si wao!

Lakini kwa kuwa ni vigumu nyani kuona kundule...ngoja nikupe kioo huenda utaelewa!
 
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.

Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii chipukizi(underground).

Kama anajiamini awe anasimamia wimbo yeye mwenyewe la sivyo aendelee
KUMWAGA RADHI.
NASHANGAAA ET NAO HUU WIMBO MTAANI KWETU UNAANZA KUWA NOISE POLLUTION MAAANA LEO TU NMEUSKIA ZAIDI YA MARA 5 HII SIBURE
 
Kinachofurahisha, hiki kizazi tunachokisema vibaya hakikujiandikia MITAALA.

Sisi tuliosoma hayo mashairi magumu na vitabu vya KUSADIKIKA ndio tuliobadili na kuwaambia wasome ZAWADI YA USHINDI.

Sisi ndio tuliona hakuna umuhimu wa wao kusoma CHEMISTRY na PHYSICS tukaziunganisha kuwa somo moja.

Sisi ndio tulifuta UMITASHUMTA UMISETA na MIDAHALO mashuleni.

Sisi..si wao!

Lakini kwa kuwa ni vigumu nyani kuona kundule...ngoja nikupe kioo huenda utaelewa!
Kinachofurahisha, hiki kizazi tunachokisema vibaya hakikujiandikia MITAALA.

Sisi tuliosoma hayo mashairi magumu na vitabu vya KUSADIKIKA ndio tuliobadili na kuwaambia wasome ZAWADI YA USHINDI.

Sisi ndio tuliona hakuna umuhimu wa wao kusoma CHEMISTRY na PHYSICS tukaziunganisha kuwa somo moja.

Sisi ndio tulifuta UMITASHUMTA UMISETA na MIDAHALO mashuleni.

Sisi..si wao!

Lakini kwa kuwa ni vigumu nyani kuona kundule...ngoja nikupe kioo huenda utaelewa!
Alafu huyu anaejifanya ni muhenga humu ndani anashindwa kung'amua hayo
 
Weee nawe,kwan Mrisho nyimbo zake kashirikisha? Kuna nyingine kaimba peke yake hapa tunamaanisha nyingi
ipi hiyo itaje ""?? mkuu hapa utakuwa watulisha matango pori """
 
Siku hizi amekuwa mwehu tu, hakuna cha mjomba wala nini, ameshanunuliwa tayari.
 
mwenye link atuwekee basi tuitathmini,ingawa binafsi sijawahi kulielewa lile jitu...hivi wana undugu na yule nduli idd amin dada?
au ndio duniani wawili wawili?
hahaAa... aliwakimbia kina chipanze"" wenzake baada ye yeye kuletwa kwenye zoo""
 
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.

Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii chipukizi(underground).

Kama anajiamini awe anasimamia wimbo yeye mwenyewe la sivyo aendelee
KUMWAGA RADHI.
kavaa viatu kwenye io video? au bado ajamalizia masharti
 
Kinachofurahisha, hiki kizazi tunachokisema vibaya hakikujiandikia MITAALA.

Sisi tuliosoma hayo mashairi magumu na vitabu vya KUSADIKIKA ndio tuliobadili na kuwaambia wasome ZAWADI YA USHINDI.

Sisi ndio tuliona hakuna umuhimu wa wao kusoma CHEMISTRY na PHYSICS tukaziunganisha kuwa somo moja.

Sisi ndio tulifuta UMITASHUMTA UMISETA na MIDAHALO mashuleni.

Sisi..si wao!

Lakini kwa kuwa ni vigumu nyani kuona kundule...ngoja nikupe kioo huenda utaelewa!
he he he hehee ....Nasubiri majibu yake ""
 
Aimbe habari zake za mjomba aone kama hajatekwa!
Mwaka jana kwenye sherehe za Mei Mosi Mpoti alijaribu kumwelezea Magu ni nini watumishi wanataka, limagu likakasirika limemtosa haliambatani naye kwenye masherehe. Dhalimu hana rafiki
 
Back
Top Bottom