Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Unamahaba na Yanga kwelikweli..usidhani wote hatujui kanuni na sheria za mpira na kudhani ni rahisi kutudanganya..bila aibu unasema mpira ulifata mkono ndo nyinyi huwa mnazabuliwa vibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo uliyojaribu kueleza watu wanayajua lakini hadi wanalalamika usifikiri ni wajinga,acha uchambuzi wako uchwara
Unamahaba na Yanga kwelikweli..usidhani wote hatujui kanuni na sheria za mpira na kudhani ni rahisi kutudanganya..bila aibu unasema mpira ulifata mkono ndo nyinyi huwa mnazabuliwa vibao
Umeandika mengi kumbe utumbo mtupu, mkono ndo ulifata mpira na akauseti mpira kwenda mbele kwa chini ili apige shuti. Tena alitakiwa kupigwa red.
Goli la Tambwe linafanana na goli walilofunga Ufaransa dhidi ya Ireland kwenye qualifications za World Cup 2014. Henry aliupakata mpira akautengeneza vizuri kwa mkono akatoa pasi ya goli. Ni wazi kabisa mwamuzi alitoa maamuzi yasiyo sahihi.Acheni kuchambua kimahaba Mpira ulipunguzwa kasi na mkono, otherwise ungesema refa akishaamua Iwe sawa au sio inapaswa kukubali lakini kiuhalisia refa alikosea japo si kigezo cha kufanya vurugu kwa washabiki wa Simba.
sasa ww unataka kutuaminisha kuwa uliona vizuri kuliko kameraUzuri nilikuwa nimekaa karibu sana na goli alilofunga Tambwe, niliona vizuri sana lile tukio halipo kama unavyoeleza wewe, hata camera za TV hazijachukua tukio vizuri zimechukua kwa Pembeni sana, hapakuwa na utata Ile mpira haujaufata mkono kama unavyodhani, Tambwe aliivuta mpira ukabaki mikononi sec kadhaa kabla ya kutua Chini
Ungekuwa muungwana wa soka kweli ugechambuau na offside fake ya ajib
Mahaba niuwe
Na uhakika sababu niliona na nilikuwa Uwanjani pia na sheria za mpira nazijua sababu ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ndo mchezo wangu ninaoupenda..ila wewe mahaba na Yanga yanakusumbuaUna uhakika wa kilichotokea au unaamini tu kichwani mwako ndicho kilichotokea.. wakati mwingine mnaendeleza ushabiki mno hata ukweli ukiwakodolea macho hamuuoni
Hii hakuna shabiki wa Yanga wala mchambuzi mwenye mapenzi na Yanga anayeizungumzia ndo uone kwamba wanachambua kinafiki tu. Ndo maana mi nimesema refa hakuwa fair japo haihalalishi sisi Simba kufanya vurugu. Lakini Tanzania Uhuni umezidi kila timu inalalamika mi naona hii itasaidia kuleta adabu maana angalia baada ya fujo refa alichezesha vizuri.
Mtu anauseti kabsa mpira halafu watu wanaleta mahaba ya pwani.
Na uhakika sababu niliona na nilikuwa Uwanjani pia na sheria za mpira nazijua sababu ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ndo mchezo wangu ninaoupenda..ila wewe mahaba na Yanga yanakusumbua
Goli hilo hapo
Kwahiyo unaamini wale wote waliolalamikia lile goli hawaijui hiyo sheria!!