bruno castol
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,046
- 661
Unamshangilia mlevi kwa kuyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barthez alisikia filimbi na aliona kibendere juu. Aruke achubuke bureZungumzia Goli LA Ajib. Tatizo lilianzia hapo?
Goli la Asernal, huwezi kulinganisha na la Tambwe mkuu, Ile ilikuwa Ball to hand, lakini sio Hand to ball kama Ile ya Tambwe, Tambwe aliusukumba mpira Kwa mkono wake wa kulia ili apate support ya kugeuka na kupiga vizuri,hiyo ndio tunaiita hand to ball.Goli walilofungwa burney na arsenal leo ingekuwa ni bongo hapa uwanja usingekalika aisee....hata km mwamuzi kakosea lakin ile reaction ya nahodha wa simba kwa refa na reaction ya washabiki wao ni mambo ya kilimbuien kabisa katika soka na km issue ya jana ingetokea kwe ligi ya mabingwa hivi au ligi za wenzetu ulaya basi tungeshuhudia adhabu kubwa sana ila hapa kwetu ndo hvyo tena
Goli la Asernal, huwezi kulinganisha na la Tambwe mkuu, Ile ilikuwa Ball to hand, lakini sio Hand to ball kama Ile ya Tambwe, Tambwe aliusukumba mpira Kwa mkono wake wa kulia ili apate support ya kugeuka na kupiga vizuri,hiyo ndio tunaiita hand to ball.
Mimi sina mahaba na Simba mkuu ila ninachoongea ni facts, Tafuta video ya lile lile goli la Asernal uangalie vizuri Kwa ukaribu ndo utaelewa ninachomaanisha.Yote ya mkono kaka acha mahaba na yote yanalindwa na sheria