Kutokujua Sheria za Soka Chanzo cha Malalamiko ya Goli la Yanga!

Unamahaba na Yanga kwelikweli..usidhani wote hatujui kanuni na sheria za mpira na kudhani ni rahisi kutudanganya..bila aibu unasema mpira ulifata mkono ndo nyinyi huwa mnazabuliwa vibao
 
Hayo uliyojaribu kueleza watu wanayajua lakini hadi wanalalamika usifikiri ni wajinga,acha uchambuzi wako uchwara

Kama wangekuwa wanajua wasingelalamika; inakuwa kama wale wazungusha mikono wa mwaka fulani...
 
Unamahaba na Yanga kwelikweli..usidhani wote hatujui kanuni na sheria za mpira na kudhani ni rahisi kutudanganya..bila aibu unasema mpira ulifata mkono ndo nyinyi huwa mnazabuliwa vibao

Una uhakika wa kilichotokea au unaamini tu kichwani mwako ndicho kilichotokea.. wakati mwingine mnaendeleza ushabiki mno hata ukweli ukiwakodolea macho hamuuoni
 
Umeandika mengi kumbe utumbo mtupu, mkono ndo ulifata mpira na akauseti mpira kwenda mbele kwa chini ili apige shuti. Tena alitakiwa kupigwa red.

Unajua sheria ya soka inayoamua kama mchezaji kaushika mpira? au unadhania unaijua kwa sababu umeambiwa mchezaji hatakiwi kushika mpira kwa mkono isipokuwa golikipa?
 
Acheni kuchambua kimahaba Mpira ulipunguzwa kasi na mkono, otherwise ungesema refa akishaamua Iwe sawa au sio inapaswa kukubali lakini kiuhalisia refa alikosea japo si kigezo cha kufanya vurugu kwa washabiki wa Simba.
Goli la Tambwe linafanana na goli walilofunga Ufaransa dhidi ya Ireland kwenye qualifications za World Cup 2014. Henry aliupakata mpira akautengeneza vizuri kwa mkono akatoa pasi ya goli. Ni wazi kabisa mwamuzi alitoa maamuzi yasiyo sahihi.
 
Uchambuzi pumba huu.. Jambo moja tu la msingi ungesema kuwa mpira ni mchezo unaochezeahwa na mwanadamu vitu kama hvyo vinatokea na ni kawaida atleast watu wangekuelewa sio kulazimisha haramu iwe halali.. Katafte wachambuz wenzio uchwara uwape fix
 
sasa ww unataka kutuaminisha kuwa uliona vizuri kuliko kamera
 
Una uhakika wa kilichotokea au unaamini tu kichwani mwako ndicho kilichotokea.. wakati mwingine mnaendeleza ushabiki mno hata ukweli ukiwakodolea macho hamuuoni
Na uhakika sababu niliona na nilikuwa Uwanjani pia na sheria za mpira nazijua sababu ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ndo mchezo wangu ninaoupenda..ila wewe mahaba na Yanga yanakusumbua
 
Daaah mtoa post kama ungetueleza na kuhusu ile offside ya ibra migomba "MIDO" Ungekua umetutoa tongotongo ce tunaodhani ya kuwa tumeonewa but kitendo cha kutuchambulia goli HALALI la Shiza Kichuya na kuacha kile mwamuzi alichokiita offside basi lazima utakua na mahaba niue ya upande ule wa kijan na njano.[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Hii hakuna shabiki wa Yanga wala mchambuzi mwenye mapenzi na Yanga anayeizungumzia ndo uone kwamba wanachambua kinafiki tu. Ndo maana mi nimesema refa hakuwa fair japo haihalalishi sisi Simba kufanya vurugu. Lakini Tanzania Uhuni umezidi kila timu inalalamika mi naona hii itasaidia kuleta adabu maana angalia baada ya fujo refa alichezesha vizuri.
 
Na uhakika sababu niliona na nilikuwa Uwanjani pia na sheria za mpira nazijua sababu ni mfatiliaji mzuri wa mpira na ndo mchezo wangu ninaoupenda..ila wewe mahaba na Yanga yanakusumbua

Ni sheria gani ya soka iliyovunjwa pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…