Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #41
Kwa watu wazima wamechelewa. Waweke bili ya watoto.Wakianza kunywa maziwa watakuwa warefu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa watu wazima wamechelewa. Waweke bili ya watoto.Wakianza kunywa maziwa watakuwa warefu?
Kwa watu wazima wamechelewa. Waweke bili ya watoto.
Wale hawawi weupe sababu, melanin yao inabadilika na kuwa haipothamalus, inasafirishwa na stiglasgoji toka kwenye ngozi na kwenda kwenye miguu, ndio maana hawawi weupe..Uathirikaji wake hauwezi kuwa sawa kulinganisha na jamii ambazo zinachanganyana. Umewahi kuona msudan au mkurya mweupe? Exactly. Hiyo nayo inachangiwa na maziwa?
Labda kama wamepigwa madawa sana na ile dawa haijasubiriwa iishe mwilini. Zaidi ya hapo sioni tatizo.Naona wanasema maziwa ya ngombe wa kizungu sio mazuri
Mimi ni andunje. Njoo nikupige judo.Mkuu wee mfupi nini, mbona umejaa nyembe ghafra.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maza wangu hajaleta mada ya warefu umeileta wewe... am super tall kuanzia mwili hadi mkuyenge.. u will enjoy it... njoo uchukue moto.
Toa miongozo ya jinsi maandunje watarefukaje?Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
Kwa lugha hii we ni mfupi kuliko mbooo yangu 😂😂😂Upimbi what do you mean ?
We una urefu futi ngapi
Unapost None-sense Sana sijui Jf umeijua recently?!!
Msisingizie malezi.Wafupi wakubwa ninyi.Mbilikimo.Natania.Wewe una tatizo la malezi hivyo unaropoka hovyo.