Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

Nahisi alikuwa anaogopa magiant wenzake
 
Kama CEO kuna vitu hawezi fanya, lile lilikuwa tamasha ambalo Magufuli hakuwepo, alishafanya la dodoma mbele ya viongozi wote wa serikali haikuwa na haja ya kuonekana kwenye hili ndiyo maana katuma vijana wake ambao nao pia walipata treatment ya kiVIP kuliko wasanii waliotangulia.
 
Diamond alikua kwenye list ya wasaani watakao parfom kwa stage lakini ilibidi kustopisha show kwa sabubu ya msiba wa Fatma Abdallah mtangazaji wa wasafi lakini waandaji Wali endelea kusema atakuwa kwa stage ili watu wa endelea kusubili show maana ingetangazwa hata kuwepo mashabiki wangepotea saa 3
 
Sijapata muda wa kuangalia hilo tamasha zaidi ya Clip ya MITAMA tu kumbe DIMONDI hakushiriki? IMEISHA HIYO.
 
Nyie hamjamjua huyu mondi anataka awe na shoo yake mwenyewe kingine kwa sasa amekuwa mbinafsi sana
 
Tangu Harmonize ameondoka WCB Diamond anapumulia mpira.
WCB nzima hakuna kichwa cha kutunga mashairi yenye ujumbe kumzidi Harmonize
yaani huyo kikaragosi ndo unamlinganisha na baba lao? muulize saivi anavohangaika kupata views, ukichukua views wa album nzima ya huyo mmakonde+ dodo na so hot bado ujumla wao hawajafikia views wa wimbo1 wa jeje alafu unaleta utopolo wa maneno hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…