Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Ningekuwa Diamond nisingekibali kushabikia waziwazi chama chochote kwa ajili ya mstakabali wa mbeleni.Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona.
Je, aliogopa wasanii wenzake kuonekana wamemzidi, katika perfomance kama angekuwepo?
Unapokiingiza katika siasa waziwazi kuna mashabaki muhimu utawapoteza.