Ningekuwa Diamond nisingekibali kushabikia waziwazi chama chochote kwa ajili ya mstakabali wa mbeleni.Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona.
Je, aliogopa wasanii wenzake kuonekana wamemzidi, katika perfomance kama angekuwepo?
Alafu wabongo Juzi Dodoma show zote mbili Diamond ndiye aliyefunga show,Harmonize hakupanda jukwaani,ina maana Harmonize alimwogopa Diamond?Tangu Harmonize ameondoka WCB Diamond anapumulia mpira.
WCB nzima hakuna kichwa cha kutunga mashairi yenye ujumbe kumzidi Harmonize
CCM Ndio imetufikisha hapa.Mzee baba unachuki na CCM sio kwa style hiyo mzee
Huhitaji kuwa na degree kama Mwakyembe kujua kwamba kwa sasa Diamond ana ukame wa mashairi yenye sense.Mzee haupo serious Diamond apumulie machine kisa konde boy?
Kwa bongo bado sanaNingekuwa Diamond nisingekibali kushabikia waziwazi chama chochote kwa ajili ya mstakabali wa mbeleni.
Unapokiingiza katika siasa waziwazi kuna mashabaki muhimu utawapoteza.
Je na wale waliofanikiwa kimaisha kwenye utawala wa CCM utasemaje?CCM Ndio imetufikisha hapa.
CCM ndio imewafakisha pale......Watanzania tupo 60m.....Matajiri wapo wangapi? Maana takwimu zinaonyesha kila mwaka kuanzia 2016 inazalisha masikini mil 2.Je na wale waliofanikiwa kimaisha kwenye utawala wa CCM utasemaje?
huyu demu kuna siku nitamla tu,ngoja niongeze juhudiHivi Ka Zuchu kanalala kweli? Watakazeesha .
Huhitaji kuwa na degree kama Mwakyembe kujua kwamba kwa sasa Diamond ana ukame wa mashairi yenye sense.
Wcb tunamis sana kichwa cha konde boy
Mashairi ya Diamond ya sasa lazima utasikia
Kusugua rungu
Rungu la kipepe
Kata kiuno
Ipake wese
Njoo tufanye mavitu
Kila la heri, ila sasa hivi itakuwa kazi kameshakuwa ka staa.huyu demu kuna siku nitamla tu,ngoja niongeze juhudi
Diamond afanyi mziki for fan anafanya mziki kwa target ukiangalia ngoma nyinyi anazopatia show za nje ni Kama hizo na ndio zinazompa tuzo ngoma za mashairi unazotaka wewe azifanyagi vizuri kwenye international market mfano mzuri je utanipenda Ni ngoma iliyofanya vizuri East Africa lakini haijafanya vizuri international na Wala haina tuzo yoyote the same to kamwambie,sikomi,niache n.k. sio kwamba diamond kashiwa kuandika mbona ile project ya super woman mbona kuandika yeye pia Kuna ngoma aliipost Kama teaser Ina mashairi konki lakini hajatoa mpaka leo yule jamaa anatoa ngoma kwa target sio tu anaachia tu ngoma.Huhitaji kuwa na degree kama Mwakyembe kujua kwamba kwa sasa Diamond ana ukame wa mashairi yenye sense.
Wcb tunamis sana kichwa cha konde boy
Mashairi ya Diamond ya sasa lazima utasikia
Kusugua rungu
Rungu la kipepe
Kata kiuno
Ipake wese
Njoo tufanye mavitu