Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma.

Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa.

Wengi wakikuta tangazo la kazi hukimbilia kutazama anuani ya kutumia tangazo kisha kuandika barua na kuituma aidha online or kwa njia yetu pendwa ya posta (mkono).

Unaposoma tangazo haraka kwanza unapoteza jibu moja ambalo ndilo hubeba dhima kubwa katika usaili.

Nitaelezea kwa undani kuhusu kusoma tangazo but kwa sasa jua tu tangazo unapaswa ulisome vizuri zaidi.
 
Mi huwa naenda kwanza kwenye JDs (job descriptions je ntamudu?) afu naenda kwenye qualifications, what is a must, added advantages.hivo yani

Utatusaidia sana kufahamu ni vitu gani vya kuzingatia. Nimesubscribe.
 
Back
Top Bottom