Kutokuungwa mkono Bashiru, Polepole, Ndugai na wengine, tujitathmini

Nimesikia sauti nyikani ikisema; ....panapokaribia kupambazuka, kiza huwa nene...Those who laugh last laugh longer...
 

Utawala wa Saddam uliangushwa kama wa huyo msoviet mwingine uliyemtaja. Utawala wa CCM ungali madarakani. Hatua za kuufurusha madarakani haziwezi kumtenga awaye yote.

Your browser is not able to display this video.


Huyu nguli ana maana yoyote kwako, au nguli ni wewe naye ni kidampa tu?

Siasa za chuki na visasi hazina manufaa yoyote balu ni kujilisha upepo tu. Ukishiba usiache kutuletea mrejesho.
 
Hujui hata ulichokiandika, yule ibilisi alikuwa na chama chake kinaitwa Ccm mpya, Sasa utawala wa Ccm mpya umeshaangushwa, Ccm asili wamerudi na chama chao, inahitaji akili kulikuwa hili.
 
Kwahio Mko watatu tu nchi nzima?
Katika hao watatu, itokezee vile vizee 2 vinywa gongo vifuatwe rasmi na TBC/ITV/STAR TV viulizwe msimamo wao kuhusu kauli ya Bashiru bila ya kupindisha pindisha maneno, nakwambia vitaruka kimanga.
 
Hujui hata ulichokiandika, yule ibilisi alikuwa na chama chake kinaitwa Ccm mpya, Sasa utawala wa Ccm mpya umeshaangushwa, Ccm asili wamerudi na chama chao, inahitaji akili kulikuwa hili.

Kuna yule nguli nilikuwekea pale. Umejifanya hukumwona au kuwa nguli ni wewe?

Kama taifa elimu ni tatizo kubwa. Tuna rundo la wasiojua hawajui. Hujioni kuwa mmoja wa timu hiyo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…