Kutokuvaa soksi siyo uhuni!

Ofisini kwako Kuna Sheria ya ulazima wa uvaaji wa soksi?,huoni kama ni utumwa na Ushamba?

Binafsi nimejiajiri na hivyo sipelekeshwi na Sheria Uchwara za uvaaji wa soksi!
 
Mkuu kutokuvaa soksi kunapunguza utenda kazi katika ofisi?,Kama siyo,Je kwanini uone mtu ambaye amekuja ofisini hajavaa soksi kama Muhuni au sharobaro?

Hii ni sawa na mkanda,kama suruali inanitosha vema kwanini nivae mkanda?,na nispovaa mkanda unione Muhuni?
 
Ofisini kwako Kuna Sheria ya ulazima wa uvaaji wa soksi?,huoni kama ni utumwa na Ushamba?

Binafsi nimejiajiri na hivyo sipelekeshwi na Sheria Uchwara za uvaaji wa soksi!
Ndo maana akili yako ina Kiburi.
Naamini ofisi yako bado ni magumashi wenzio waliojiajili na kujipata si hata wewe unawaona wanavyovaa wakikutana na wakubwa wenzao kikazi?

Pole🚮
 
Ukichomekea vaa mkanda, Sitokujibu tena ukiendelea kung'ang'ania Ulimbukeni wako.
 
Ukichomekea vaa mkanda, Sitokujibu tena ukiendelea kung'ang'ania Ulimbukeni wako.
Aliyekwambia ukichomekea lazima uvae mkanda ni nani?,wewe ni mashamba na limbukeni!

Miafrika mingi ni milimbukeni Kwa kuiga iga mambo tu!
 
Ndo maana akili yako ina Kiburi.
Naamini ofisi yako bado ni magumashi wenzio waliojiajili na kujipata si hata wewe unawaona wanavyovaa wakikutana na wakubwa wenzao kikazi?

Pole🚮
Wewe ni limbukeni na mshamba,nimekuuliza swali lakini unashindwa kujibu umebaki na blah blah zako tu!

Ni wapi mtu ambaye hakuvaa soksi amewahi kufikishwa mahakamani kwamba utendaji kazi wake ni mbovu?

Ni lini uvaaji wa soksi ukaongeza akili kichwani?
 
Aliyekwambia ukichomekea lazima uvae mkanda ni nani?,wewe ni mashamba na limbukeni!

Miafrika mingi ni milimbukeni Kwa kuiga iga mambo tu!
Daah Ogopa sana Jeshi la watu wajinga hasa pale wanapoung'ang'ania ujinga wao, Sorry sijakutusi ila unashida ya akili.
 
Ni nani wewe ulimuona ukiachana na ofisi zenu za uchochoroni na maafsa usafirishaji wenye akili za aina yako?
Wote wenye akili za aina yako washatupisha kwenye system kwa sababu moja au nyingine ila chanzo ni ubishi tu kama ulio nao wewe.
 
Nipe sababu 3 za kuvaa Suruali?
Kuvaa suruali hakuna sababu 3 Bali ni 2 tu!

1.Navaa suruali Ili kuficha utupu (Uchi)
2.Navaa suruali kwasababu Mimi ni mwanaume,ni sharti kuvaa suruali Ili kujitofautisha na jinsi ya KE
 
Kuvaa suruali hakuna sababu 3 Bali ni 2 tu!

1.Navaa suruali Ili kuficha utupu (Uchi)
2.Navaa suruali kwasababu Mimi ni mwanaume,ni sharti kuvaa suruali Ili kujitofautisha na jinsi ya KE
Ugoko wako ni Uchi?
 
Mpuuzi ww hojaless kabisa
 
Kwahiyo sababu nikizoziweka hapo hijaziona au?

ACHA UTAHIRA!
Hazina mashiko, Unaweza Vaa Kanzu bado ukaonekana Mwanaume, Unaweza Vaa Kaptula bado ukastili Uchi wako.

Kwanini unavaa suruali?

Nijaalie umri wako, Una Elimu gani kwanza maana ubushi wa kipumbavu kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…