TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #21
Ofisini kwako Kuna Sheria ya ulazima wa uvaaji wa soksi?,huoni kama ni utumwa na Ushamba?Basi kesho nenda kazini kwako na Pensi na Kobazi, Tshirt na Kofia.
Kuna standards zimesetiwa ili kulinda hadhi ya Office na kudumisha ustaarabu wa wafanyakazi
Si mara zote utavaa ili upendeze au ujisikie fahari vile unapenda wewe.
Ukianza kuona Sheria ni mzigo au Ushamba basi ujue unashida kichwani.
Binafsi nimejiajiri na hivyo sipelekeshwi na Sheria Uchwara za uvaaji wa soksi!