Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

Kutokuwa na hela ndio inafanya mwanaume atembee na pisi mbovu!

Kama unamaanisha Pisi mbovu ni mwanamke qmbae haja tulia hujakosea,


wakati mwingine hata uyo unaedhani ni Pisi mbovu unakuta anakaa nawewe tu kupunguza mzigo. siku mikeka yake ikitiki anakutema kama unavyofikiria kumtema.

Uwe tajiri au kapuku Maisha ya mahusiano ni kutumiana Tu hamna kipya
 
Siku nikiyaona makebo ya seran Seran
FB_IMG_1784099966880.jpg
 
Back
Top Bottom