Pisi isyo kali ikojeUnakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.
ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema
masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!

Kama mimiPisi isyo kali ikoje
Wewe ukoje ?Kama mimi
sio matunzo ni finishing😀😀😀hakuna pisi mbovu matunzo tu
What?Hakuna pisi mbovu.
Finishing,What?
Tufanye haujatembea 😆Finishing,
Nimetembea😁,Tufanye haujatembea 😆
Hili limeniuma😂
Kuna vichupa vimechachuka mpaka mtoto akiviona analia , aneway mwanzoni nilikua na mtazamo kama wakoNimetembea😁,
Pisi zipo kali,sura,shepu,sauti,nk
Hapo ni wewe inategemea ukali unaupea kwenye Nini.
Pisi mbovu😁
Daaah,nyie wanaume bhana,mnachagua sana.Kuna vichupa vimechachuka mpaka mtoto akiviona analia , aneway mwanzoni nilikua na mtazamo kama wako
Wala sio hivyo, ukweli ni kuwa kuna chachu tamu na chungu, mengine ni ubinadamu tuDaaah,nyie wanaume bhana,mnachagua sana.
Naonaga wanaodate na pisi kaliiii,kwenye kuoa Sasa🙄Wala sio hivyo, ukweli ni kuwa kuna chachu tamu na chungu, mengine ni ubinadamu tu
Kujaza matufa range sio sawa na kujaza mafuta IST😅Naonaga wanaodate na pisi kaliiii,kwenye kuoa Sasa🙄
Hii inakuwaje.
Nifafanulie hii😜Kujaza matufa range sio sawa na kujaza mafuta IST😅
Sidhani😅Nifafanulie hii😜
Fafanua😁,nipate faida.Sidhani😅