Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Akikujibu niamsheKwahiyo tajiri namba 1 dunia ndiye mwenye mwanamke mrembo dunia nzima?
Akikujibu niamsheKwahiyo tajiri namba 1 dunia ndiye mwenye mwanamke mrembo dunia nzima?
Ndio, kwani pisi kali wewe unaitafsiri vipiMatunzo kivipi mtoto wa tyson yule bondia nguli nae kakosa Matunzo?
Kama kuna kali maana yake kuna butuNdio, kwani pisi kali wewe unaitafsiri vipi
Pisi mbovu mbovu tuWewe ukoje ?
Basi nilikuwa sijaelewa, kuna siku mtu mmoja alinambia gari kubwa inakunywa mno nikahisi kanitukana!Kuna mtoto kama yule nana doz sio rahisi uoe , yeye tayari akili yake ina vipaumbele ambavyo kwa mwanaume anaejitafuta ni ngumu kuvitimiza , hivyo wengi huishia one night stand nakupotea tu
Bora mtu akajitwalie huko bariadi ndani ndani😅Basi nilikuwa sijaelewa, kuna siku mtu mmoja alinambia gari kubwa inakunywa mno nikahisi kanitukana!
Kesho mapema sana niko bariadi ndani ndani😎Bora mtu akajitwalie huko bariadi ndani ndani😅
Gari ni engine sio body,,,,Unakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.
ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema
masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!
Sema kweliKesho mapema sana niko bariadi ndani ndani😎
GulPisi mbovu mbovu tu
Kabisaa!!Sema kweli
Kabisa!Una miguu mitatu?
Gul
Mbona siku ile sikuiona?Kabisa!
Wapi?Mbona siku ile sikuiona?
AmellWapi?
Ndio wapi?Amell
Acha bas kunichoraNdio wapi?