Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kukuchora wapi? Mimi nawe tuLionana wapi?Acha bas kunichora
Kukuchora wapi? Mimi nawe tuLionana wapi?Acha bas kunichora
Hatukuonana.Kukuchora wapi? Mimi nawe tuLionana wapi?
Hahaha unanijua mpaka useme uliniona?Hatukuonana.
Mimi nilikuona ila wewe haukuniona.
Mwenyeji wangu anayekujua alinionesha kwa kusema yulee mdau pale ndio Seran.Hahaha unanijua mpaka useme uliniona?
Hakuna mtu anayenijua wewe epuka matapeli!Mwenyeji wangu anayekujua alinionesha kwa kusema yulee mdau pale ndio Seran.
Nikasema aaaah sawa.
Basi jamaa atakuwa ameniingiza cha kikeHakuna mtu anayenijua wewe epuka matapeli!
Mpe vyake!Basi jamaa atakuwa ameniingiza cha kike
Unakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.
ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema
masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!
Mbona wachache hivyo, mimi jana nilikuwa najaribu kufuatilia kila mmoja na idadi ya ngono na mahala gani nilifanyia nimebaini kuwa kwa miaka 5 tu wako 48 na wengine ni mtu na mdogo wake baadhi ni mama na mtoto bila wao kujuana.Mimi nishalala na mademu ishirini na saba toka nikiwa na miaka kumi na tano
Unakaa naye tu kupunguza mzigo huku ukijifanya unampenda kumbe tu ni uzushi.
ukipata tu mazingira hivi unamtema na unafta bonge la pisi ule naye tu maisha naye ukimchoka unamtema
masela sisi n uhun tu unaoa huku unachepuka!
Aisee we kiwembe kweli kweliMimi nishalala na mademu ishirini na saba toka nikiwa na miaka kumi na tano