@mrkipago kila mwezi kuna watu wana tengeneza pip za kutosha kama picha hapo chini.Forex Power
Trade to get financial freedom
All the best traders
Tusaidie kuifahamu nduguNIKO NA SOFTWARE TOOL MOJA HAPA NAHISI NI MENTOR TOSHA MAANA ANAJUA KU ANGALIA MARKET VIBAYA MNO
View attachment 721179
njo inbox Alex TanzaniaTusaidie kuifahamu ndugu
Hellow wakuu!!
Kwa wale wageni kwenye Forex (newbies/beginners) naamini mnaendelea kusoma vitabu vya Forex na kufanya majaribio kwenye demo ,
Nawashauri msitumie demo Bali fungueni live cent account kwa broker anayeitwa Templer FX Trader , cent akaunt ni live Akaunti ambayo ukideposit $1(Tsh 2,250/=) kwenye Mt4 itasoma $100 ,, inamaana kila $1 unayodeposit inazidishwa Mara 100, ni akaunti nzuri kwa kujifunzia kuliko kutumia demo kwa sababu demo ni hela ya kufikirika hata ukiikuza huwezi kutoa na hata ukiunguza hudaiwi na MTU. Demo inapunguza ule userious Wa MTU kujifunza Forex, ila ukitumia cent akaunti ni nzuri zaidi kwa kujifunzia kwa sababu ni pesa halisi ambayo unaweza kuitoa km kawaida , unanua vocha na mahitaji mengine kama Sabuni, pia inaongeza userious Wa kujifunza na kugundua wapi umekosea,, Cent akaunti itakuongezea umakini na kukupa ujasiri zaidi katika kujifunza..
Uzuri mwingine hiyo $1 utadeposit kwa njia ya mpesa huyu broker anakubali mihamala kwa njia ya Mpesa huhitaji kwenda hadi Bank, ,, ukishaiva vizur utafungua Universal live akaunti. Hii ndyo akaunti rasmi ya kutrade na kupata hela ya kuendesha maisha. Cent akaunti ni kwa ajili ya kujifunzia pamoja na kupata hela ya vocha[emoji16]
Fungua Cent akaunti Leo achana na Demo ingia kwenye website yao hii Templer FX Trader
Verification ni masaa24 tu unakuwa ushapata akaunti. Unachotakiwa kuwa nacho ni ID mojawapo kati ya kupigia kura,lessen passport, au cha uraia
Nijuze ukikwama au km kuna sehemu hujaelewa jisikie huru kuuliza.
Click Trust buttonacha njaa just train forex
View attachment 721443
Mkuu kuwa mkweli hiyo video clip uliyoweka sio ya Tanzania, tanzania hatuna mtandao wa selcomKWA SIKU HII YA LEO SIO MBAYA SANA. 😀😀😉
mentorMkuu kuwa mkweli hiyo video clip uliyoweka sio ya Tanzania, tanzania hatuna mtandao wa selcom
Hiyo mpesa ni bongo , kudeposit wanaanza na $1 nafikirisasa ni mpesa ya bongo au ya kenya na kiwangha ku deposit ni tsh ngapi
Upo vizuri Mr. I am still grinding though tayari napata euro kadhaaHey Fx meet you on monday
View attachment 723591
Daaaah hatari , Mkuu nilikuandikia meseji hujanijibuHey Fx meet you on monday
View attachment 723591
Hata nikikuonyesha ninavyopata itasidia nini? kama bado huamini forex inalipa kwa traders makini basi wewe endelea kutoaamini! Tatizo tumeaminishwa kwamba kitu kulipa lazima kikupe mamilioni ya hela tena kwa muda mfupi? Moja wapo ya sabubu zinazofanya biashara nyingi kufa ni hii attitude hasa kwetu ngozi nyeusi! Hatui kudunduliza kidogo kidogo mpaka ukawa milionnaire! Get rich quick (deal) inatuangamiza na kutupofusha macho!onyesha unavyopata faida
Hii ni renko chart mkuu? Mambo ya forex winners hayo!waiting for setup while milking few $$ and then market will get something of me
View attachment 702812
kwa nini usizalishe mali?
hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..
kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania
Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe
Ni kweli, lakini kwanini katika training yao hakukuwa na kipengele cha How to choose a broker? Kama hiki kipengele kingefundisha watu wangejua mapema sana mbivu na mbichi. Na hizi thread zote za kumponda jamaa zisingekuwepo mitandaoniKila mentor wa forex nnaye mjua ana broker wake anayemtumia! na hii sio kwa tmt tu ni dunia nzima!!
Kutoweka wazi kwamba yeye ni IB wa JP markets sidhani kama ilikuwa ni fair, Watu wangapi walikuwa wanafahamu kuhusu IB na impact zake?Kusema watu wanalazimishwa pia unakosea, maana kabla hujajiunga unapewa terms and condition, moja wapo ni hiyo ya broker!! unasoma ukiridhia ndio unajiunga!!!
Hapa siyo kweli, I know some mentors ambao hawakuchagulii broker wala hawakulazimishi kwamba uanze na kiasi fulani cha pesa na mambo yanaenda ppoa tu.Sielewi unaposema "wanalazimishwa kutumia broker" una maanisha nini maana huu ni utaratibu wa mentors wote na sio tmt pekee!!
Haya Ontario na TMt yake Again,Wacha sie tuendelee kupigwa na Huyo Jp markets maana sisi ndio tuliochagua kupigwa ntaendelea kupigwa milele na Jp markets kwa kudeposit kirahis na kuwith draw kirahisi ipitie TmT ipitie FNB ntaendelea kua Msukule wa Ontarion Milele.
HIVYO TUSIPENDE KULAUMU WATU WANAOTUONYESHA FURSA KWA UZEMBE WETU WENYEWE!
Mkuu mimi nimejaliwa kutembea nje ya nchi yetu kidogo, na hasa Ulaya kwa Ujumla na Asia. ''Hii kitu'' siyo kama wengi wanavyoaminishwa! Ingekuwa ni hivyo sehemu zenye wakali wa IT na Internet kwa ujumla kama India, Uchina na Scandinavian countries ingekuwa ni kitu moto sana! Siku zote ukiona ''kitu moto'' kwenye Internate basi wabaobezi wako huko na kama kina faida kubwa ungeona makala na shuhuda nyingi tena kwenye vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN nk