Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Forex Power
Trade to get financial freedom

All the best traders
@mrkipago kila mwezi kuna watu wana tengeneza pip za kutosha kama picha hapo chini.
thank wameniunga so mambo yakiwa poa hope nitakuwa mentor na mimi ila bure kwa vijana wanao chipukia. AU NIKUPE LINK NA WEWE
money.JPG
 
Hellow wakuu!!
Kwa wale wageni kwenye Forex (newbies/beginners) naamini mnaendelea kusoma vitabu vya Forex na kufanya majaribio kwenye demo ,

Nawashauri msitumie demo Bali fungueni live cent account kwa broker anayeitwa Templer FX Trader , cent akaunt ni live Akaunti ambayo ukideposit $1(Tsh 2,250/=) kwenye Mt4 itasoma $100 ,, inamaana kila $1 unayodeposit inazidishwa Mara 100, ni akaunti nzuri kwa kujifunzia kuliko kutumia demo kwa sababu demo ni hela ya kufikirika hata ukiikuza huwezi kutoa na hata ukiunguza hudaiwi na MTU. Demo inapunguza ule userious Wa MTU kujifunza Forex, ila ukitumia cent akaunti ni nzuri zaidi kwa kujifunzia kwa sababu ni pesa halisi ambayo unaweza kuitoa km kawaida , unanua vocha na mahitaji mengine kama Sabuni, pia inaongeza userious Wa kujifunza na kugundua wapi umekosea,, Cent akaunti itakuongezea umakini na kukupa ujasiri zaidi katika kujifunza..
Uzuri mwingine hiyo $1 utadeposit kwa njia ya mpesa huyu broker anakubali mihamala kwa njia ya Mpesa huhitaji kwenda hadi Bank, ,, ukishaiva vizur utafungua Universal live akaunti. Hii ndyo akaunti rasmi ya kutrade na kupata hela ya kuendesha maisha. Cent akaunti ni kwa ajili ya kujifunzia pamoja na kupata hela ya vocha[emoji16]

Fungua Cent akaunti Leo achana na Demo ingia kwenye website yao hii Templer FX Trader
Verification ni masaa24 tu unakuwa ushapata akaunti. Unachotakiwa kuwa nacho ni ID mojawapo kati ya kupigia kura,lessen passport, au cha uraia

Nijuze ukikwama au km kuna sehemu hujaelewa jisikie huru kuuliza.

acha njaa just trade forex
upload_2018-3-21_19-1-7.png
 
Karibuni katika group la watsap kuhusu crypto na forex..... Tupeane elimu,na namna ya kutrade, kuchambua soko na kupeana ujuzi kuhusu forex na crypto.


Bonyeza Link Hii :

Forex /blockchain EA:


KARIBUNI.
 
upload_2018-3-24_10-27-55.png

kupanda na kushuka thamani kwa bitcoin ni kitu cha kawaida.

Wazo huru, Bitcoin ingekuwepo tangu miaka ya nyuma USA na washirika wake wasingetuburuza kushusha thamani ya pesa za nchi changa kila kukicha. why? Bitcoin is not centrally controlled.

Mtu akiniuliza kipago una mentality gani kuhusu pesa?? Its simple you don have to weigh your earnings in any currency other than USD, ukiwa na pesa ukawa unazicount kwa kutumia TZS zitakupumbaza pesa yetu haina thamani kabisa.
Kuanza kufanya hivi kutakufanya uanze kudharau take home za watumishi wengi Tsh 700,000/= ambayo ni $310...real?? Is $310 able to make a living for a month?? Hata kula tu vizuri kwa mwezi mmoja haitoshi.
Its me and you that we can change..its me and you that we can fight against be enslaved our mind.
 
onyesha unavyopata faida
Hata nikikuonyesha ninavyopata itasidia nini? kama bado huamini forex inalipa kwa traders makini basi wewe endelea kutoaamini! Tatizo tumeaminishwa kwamba kitu kulipa lazima kikupe mamilioni ya hela tena kwa muda mfupi? Moja wapo ya sabubu zinazofanya biashara nyingi kufa ni hii attitude hasa kwetu ngozi nyeusi! Hatui kudunduliza kidogo kidogo mpaka ukawa milionnaire! Get rich quick (deal) inatuangamiza na kutupofusha macho!
 
kwa nini usizalishe mali?

hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..

kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania

Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe

Acha mawazo mgando boss
 
Kila mentor wa forex nnaye mjua ana broker wake anayemtumia! na hii sio kwa tmt tu ni dunia nzima!!
Ni kweli, lakini kwanini katika training yao hakukuwa na kipengele cha How to choose a broker? Kama hiki kipengele kingefundisha watu wangejua mapema sana mbivu na mbichi. Na hizi thread zote za kumponda jamaa zisingekuwepo mitandaoni
Kusema watu wanalazimishwa pia unakosea, maana kabla hujajiunga unapewa terms and condition, moja wapo ni hiyo ya broker!! unasoma ukiridhia ndio unajiunga!!!
Kutoweka wazi kwamba yeye ni IB wa JP markets sidhani kama ilikuwa ni fair, Watu wangapi walikuwa wanafahamu kuhusu IB na impact zake?
Sielewi unaposema "wanalazimishwa kutumia broker" una maanisha nini maana huu ni utaratibu wa mentors wote na sio tmt pekee!!
Hapa siyo kweli, I know some mentors ambao hawakuchagulii broker wala hawakulazimishi kwamba uanze na kiasi fulani cha pesa na mambo yanaenda ppoa tu.


Kusema ukweli TMT walitumia weakness ya watu wengi kutoijua forex katika kuwaumiza kwa baadhi ya mambo, Kwa mfano minimum deposit ilikuwa ni $100 na kwa amount hiyo cre alikuwa anasema kwamba mtu anaweza kuopen 7 trades za 0.01.... at the same time kuna circumcitance ambazo watu walikuwa wanahold losses hata za 200pips against. Do you think kwamba mwenye akaunti ya $100 halafu ana hizo trade 7 za 0.01, halafu market imeenda 200pips against na kile alichokuwa amepanga atasalimika?
 
Haya Ontario na TMt yake Again,Wacha sie tuendelee kupigwa na Huyo Jp markets maana sisi ndio tuliochagua kupigwa ntaendelea kupigwa milele na Jp markets kwa kudeposit kirahis na kuwith draw kirahisi ipitie TmT ipitie FNB ntaendelea kua Msukule wa Ontarion Milele.

Kama ni kudeposit basi kila broker nadhani ana fastest way ya kudeposit (huku sina shida nako), Kuwithdraw hapa ndipo watu wengi walipodanganyika. Do you think kwamba Jp market ndio ana fastest way ya kuwithdraw? For your information, Brokers wenye fastest way za kuwithdraw money ni wale brokers wanaoprovide Prepaid mastercard kwa clients wao kama walivokuwa wanafanya XM au wanavofanya sasa hivi HotForex. Broker anakupa kadi yake ambayo inakuwa linked moja kwa moja na Trading account yako. So unaweza kutoa hela muda wowote ukijisikia, ni suala tu la kunyanyuka na kwenda ATM machine iliyo karibu na ww yenye nembo ya Mastercard. Hiyo kitu unatoa hela instant.
hotforex-master-card-bottom.png

Ushauri wangu, penda kujifunza mkuu
 
HIVYO TUSIPENDE KULAUMU WATU WANAOTUONYESHA FURSA KWA UZEMBE WETU WENYEWE!

Approach aliyoitumia haikuwa sawa, na wengi imewaumiza. Thanks God nililijua hilo mapema sana na nikaamua kusepa
 
Mkuu mimi nimejaliwa kutembea nje ya nchi yetu kidogo, na hasa Ulaya kwa Ujumla na Asia. ''Hii kitu'' siyo kama wengi wanavyoaminishwa! Ingekuwa ni hivyo sehemu zenye wakali wa IT na Internet kwa ujumla kama India, Uchina na Scandinavian countries ingekuwa ni kitu moto sana! Siku zote ukiona ''kitu moto'' kwenye Internate basi wabaobezi wako huko na kama kina faida kubwa ungeona makala na shuhuda nyingi tena kwenye vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN nk

Trading is all about psychology, na hapa ndio watu wengi walipofeli........... Hakuna uchawi mwingine
 
Back
Top Bottom