Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Mkuu mimi nimejaliwa kutembea nje ya nchi yetu kidogo, na hasa Ulaya kwa Ujumla na Asia. ''Hii kitu'' siyo kama wengi wanavyoaminishwa! Ingekuwa ni hivyo sehemu zenye wakali wa IT na Internet kwa ujumla kama India, Uchina na Scandinavian countries ingekuwa ni kitu moto sana! Siku zote ukiona ''kitu moto'' kwenye Internate basi wabaobezi wako huko na kama kina faida kubwa ungeona makala na shuhuda nyingi tena kwenye vyombo vikubwa vya habari kama BBC, CNN nk
 
Hongera mkuu kwa kusafiri sijui kama nimewahi au sijawahi kusafiri nje ya nchi ntajihoji nikipata muda.
Unawafahamu Rakuten?


Exness je?


Vp kuhusu FxPro?

Endelea kusafiri mkuu
 
Forex trading is not rocket science,
There is no expectation that you be a mathematical genius, or an economics professor to acquire wealth in currency trading, Instead, clarity of vision, and well-defined, carefully observed goals and practices offer the surest path to a respectable career in forex.
To achieve this, you must resist the temptation to overexplain, overanalyze, and most importantly, to rationalize your failures.
A failure is failure regardless of the conditions that led to it.

**[emoji12] [emoji12] Remember that forex market is highly liquid, often exceeding $4 trillion USD a day in total trading[emoji665]

Ukiishi Asian+Europe haimanishi ujinga umeuondoa kichwani!!!!
 
will kill this broker today go short GBP as the base before 1900hrs
 
I will be doing like this soon
Hizi ni mbwembwe tu. screen 2 za inch 20'' zinatosha kuchungulia market nakedly. Nipe contract ya kukufanyia modelling na kufanya setup ya mult-screen
 
Hizi ni mbwembwe tu. screen 2 za inch 20'' zinatosha kuchungulia market nakedly. Nipe contract ya kukufanyia modelling na kufanya setup ya mult-screen

Shukrani mkuu setup nafanya mwenyewe iko within scope of my field, endelea kuchungulia
 

USDCHF 15m few pips before hitting TP the power of NY markets

chotechote unachokifanya unatakiwa kuwa na strategy zaid ya moja moja ikifeli unakuja na nyingine kuboost that what is called Pull back strategy
 
Mkuu nilichosema na hoja yangu iko hapa: Channels na fields zote zinazo/zilizotajirisha watu mbali mbali zinajulikana na ukichukua list inayotolewa ya matajiri duniani na shughuli wanazofanya utakuta vitu kama software, real estate, etc kwa kifupi ni nyingi. Mbnona sijawahi kuona hata mmoja aliyetajirika kwa channel ya forex? (Kama wapo naomba unijulishe. Na naomba uniambia watu wanaojulikana rasmi na sio hawa wanaozungumzwa kama misukule inayofufuliwa ambayo ''inasemekana'' na ''haionekani'').
 
Hongera mkuu kwa kusafiri sijui kama nimewahi au sijawahi kusafiri nje ya nchi ntajihoji nikipata muda.
Unawafahamu Rakuten?
Endelea kusafiri mkuu
Tujadili mada na tuache ''masimango'' yasio na maana. Kusafiri ni uamuzi na mimi nina uhakika mtu yoyote mwenye kipato cha kawaida kabisa akiamua anaweza kusafiri! Hoja yangu siyo kuwafahamu Rakuten au ma-broker wa forex! Hawa wapo wengi sana na hii forex ni kitu cha kweli na sio utapeli. Hoja yangu ni kuwa watu wanaoilezea wana-form story zao mpaka inaonekana na kuaminika na wengi kuwa hii biashara ndio mkombozi na mambo yote. Kuwa kwa wenye ndoto za utajiri wa haraka haraka basi huu ndio mlango wao! Kumbe siyo! Hii biashara (soma kamari) ni kama biashara nyingine tu za ku-bet au kununua mazao sehemu moja na kwenda kuuza sehemu nyingine au hata kulima mazao ukitegemea hali ya hewa iwe nzuri ili upate faida!
 
will kill this broker today go short GBP as the base before 1900hrs
Halafu ni watanzania tu hawajui kusoma maandishi ukutani na rahisi kudang'anyika. Nguvu inayotumika kutetea hii issue inaonyesha kabisa kuna namna. Uzoefu wangu katika maisha unaniambia biashara yoyote nzuri na yenye faida kubwa wanaoifanya hawatangazi! Wanafanya kimya kimya hata ''ukimkanyaga'' haguni!
 
Hakuna anayejua nafanyeje Fx Hakuna anayenifaham mm ni nani
Natoa tu challenge ya watu kusoma sana na kujifunza kitu na kama mtu akidedicate muda wake.
Unajua nna mda gani silali nipo kwenye keyboard naisoma Fx in and out?
Forex sio kamari kama unavyosema Hakuna kamari unayosoma zaidi ya miezi 5 ili kuielewa labda uitambulishe wewe.
 
Na nini inakua sababu labda ya Mentor kupendelea au kupendekeza Broker fulani mpaka ankuambia kama unataka jiunge, kama humtaki basi usijiunge??
 
Kwani kamari ni nini? Hivi unajua hata biashara ya kawaida kabisa no form of ''kamari''? Hivi unajua hata kilimo ni aina ya kamari? Hiyo ndio maana yangu ie. Kuna kupata na kukosa. Forex siyo kama wale ''wajanja'' wanavyoielezea. Wale ni ma-agent na wanatafuta watu waingize fedha kwani kadiri wanavyojitokeza wengi ndivyo hivyo wanavyopata faida. Ni kama mtu mwenye shamba kuuubwa akaamua kulikata vipande vidogo vidogo akodishie watu walime. Of course atawavuta na maneno mazuuuri kuwa ukilima hutapata hasara nk.
 
sawa mkuu kamari kiswahili, gambling kiingereza, michezo ya kubahatisha inaitwa gambling(kamari)

Kwanini tuna tunahitaji pesa?
  1. Kujilinda na majanga tusiyoyajua (precautionary for uncertainties)
  2. Kufanya miamala( transactions)
  3. Speculation na hapa ndiyo Foreign exchange(FX) trading, bonds, treasurry bills, shares and the like wanapoangukia tunasema Speculation sio kamari.
Karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…