Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

wewe mpaka uelewe nahisi mpaka usafiri tena ukawaulize wazungu. kuna jamaa alitikisa uchumi wa nchi moja sema nikipaa jina lake nitakuletea nahisi ni huyu: ila hao ni wengin wanyongeza
  • George Soros. George Soros was born in 1930. ...
  • Stanley Druckenmiller. ...
  • Andrew Krieger. ...
  • Bill Lipschutz. ...
  • Bruce Kovner. ...
 
ngoja nikusaidie wewe ni kipofu. basi

forex ilikuwa zamani kama hauna pesa za kutosha hauwezi ku trade ila walivyo kua hawa broker ndo wameweka na kuongeza urahisi katika ku trade mpaka leo. kukutafuta wewe ni njia ya yeye kuishi kwasababu ana ku conect na source banks e.ct. ndo maana unaambiwa broker wametofautiana so kuwa makini
 
Misukule bado mnacheza bahati nasibu..placing your fate on lowlife immature TMT baboons!!

Saivi wote mmeona kuwa ni imposible kutoboa kwa kitrade mmerudi mnajifanya walimu..hahaha crowding forex junkies!!

Endeleeni kupigwa vipara tu!
hahahahahaha hatari sana. ila sio walimuu kuna watu wana uwelewa tokea mwanzo sema wanajaribu uelewesha wengine zaidi.
 
Usilete janja za kibongo bongo za kugeuza nilichosema halafu unajifanya ''kunielewesha'' kwa kitu ambacho ni obvoius! Nani kasema hakuna mawakala? Au unataka kusema nini hasa? Mimi msimamo argument yangu ilikuwa ni hii: FOREX sio kitu cha uongo kipo na watu wanakifanya. Na hao mawakala wapo. ILA: Sio golden bullet ya kuondokana na umaskini kama huyo mtoa semina na mafundisho anavyowaaminisha watu. Infact ni kitu kipo kitambo tu na wengi wamejaribu lakini wanaofanikiwa ni wachache. Ndio nikaenda mbali zaidi nikatoa na mfano wa biashara kama ya mazao, nguo nk.Nikasema FOREX ni hivyo hivyo. Wengi huwa wanajaribu lakini ni wacheche wanaofanikiwa. Halafu nikasema ingekuwa ni kitu moto sana kama wapiga debe wake wanavyosimulia hapa basi kuna nchi zenye wakali wa mitandao na wangeichangamkia kweli kweli! BTW Je unajua BITCOIN? Unajua ''zinavyochimbwa?''. Unajua nu nchi gani zinaongoza kwa wakali wa ''kuchimba''.
 
BITCOIN naijua ndani mpka nje,
 
BITCOIN naijua ndani mpka nje,
Sasa kama unaijua na unajua kabisa nchi kama China zina magwiji wengi wanao-mine hujiulizi kwanini wasifukuzie FOREX kihivyo? Ikitiliwa maanani ni kitu cha siku nyingi na kinamfanya mwekezaji ''kuwa tajiri wka muda mfupi'' kwa mujibu wa wapiga debe?
 
Umekosea mkuu, jibu sio sahihi!! Ndio maana nakwambia bado unatakiwa ujifunze!!

Kama pip moja ina thamani ya 0.1usd na kama ukitumia position size ya 0.01 basi faida au loss itakua sawa bila kujali account ina equity au balance kiasi gani!!
labda broker A na B faida inaweza tofautiana
 
Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
 
sasa ni mpesa ya bongo au ya kenya na kiwangha ku deposit ni tsh ngapi
 
Sasa kama unaijua na unajua kabisa nchi kama China zina magwiji wengi wanao-mine hujiulizi kwanini wasifukuzie FOREX kihivyo? Ikitiliwa maanani ni kitu cha siku nyingi na kinamfanya mwekezaji ''kuwa tajiri wka muda mfupi'' kwa mujibu wa wapiga debe?
ku trade cryptocurrency na currency ni vitu viwili tofauti. moja inahitaji ujuzi na nyingine haitaji hata kidogo ni kununua tu, na china wako magwiji wa forex wana trade currency tena wako kwa vikundi na wanapiga pesa bala sema nikikumbuka majina yao nitakutafuta. sio kila anae trade forex lazima ajionyeshe wengi wanakausha na wakipiga pesa. na kutokana na kusoma kila dakika huwa wanakuwa bize na kuangalia market tu.
 
Nitatoa nafasi moja ya mentorship bure kabisa sitahitaji malipo yoyote kwa atakayefanikiwa kupata nafasi hiyo.
Soon ntatoa update jinsi ntakavyompata

Nafurahi pia kuona watu wanakuja Pm kunichora
Tutumie MBs zetu kufanya yenye faida
Unitag Tafadhali chief
 
KAMA UNA BALANCE NZURI SIO VIBAYA IKIICHUKUA HII
SELL NZDUSD
TP 0.72834
SL 0.73635
Fx For life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…