Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Ni bora tukateseka kwa shida ya kunyimwa misaada na kutengwa na dunia tupate akili ya kutafuta haki na demokrasia ya kweli kuliko kunyenyekea ujinga na kutawaliwa na tusiowataka kisa ni ubabe na mabavu ya kutumia jeshi linalolipwa na kodi zetu.
Na hili ndo ninaloliona muda si mrefu!
 
Ni bora tukateseka kwa shida ya kunyimwa misaada na kutengwa na dunia tupate akili ya kutafuta haki na demokrasia ya kweli kuliko kunyenyekea ujinga na kutawaliwa na tusiowataka kisa ni ubabe na mabavu ya kutumia jeshi linalolipwa na kodi zetu.
Nikimwangalia mtawala wetu pamoja na Ndugai naona giza kubwa mbele yetu
 
Mkuu,

Wewe ndio ulitakiwa kueleza ni kwanini hawakuhudhuria ufunguzi wa bunge la 12 sio kuanza kuuliza kinafiki watu wengine.

Vitisho vya kushitaki Mahakama ya ICC acha afanye wajibu wake ila aibu itakayompata hata kuzimu watakataa kumpokea huyo mfanyabiashara ya utetezi wa kutunga.

Iwapo wewe unaishi katika ardhi ya Tanzania kwa sasa, kwa mada yako hii basi umeshapoteza sifa ya Utanzania hata wa kununua!!!
 
Mh.Rais kasema Uchaguzi ulikuwa wa amani na utulivu,sasa wasi wasi wa nini kwa hawa jamaa kutohudhuria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…