Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Unataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Yes upo sahihi ila sidhani kama ni lazima kuwepo na siku ya kuapishwa walikuwepo asilimia kubwa,mbona hatukuona siredi......hakuna asiyejua namna utaratibu wa kura ulivyokuwa na changamoto,ila msiwaamini Sana hao jamaa,kumbuka wamekuja kuwakilisha nchi zao na wapo kwaajili ya maslahi ya nchi zao,Siyo kila kinachofanyika nchini wanakirupuka kutake actions.......wanamaslahi tao humu siyo watalii hao
 
Kwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu????

Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
Zimbabwe anavikwazo vichache sana,tunapigwa mzigo wa Sudan uliomkimbiza al bashir au wa Korea ya kiduku au hata wa Iran maana CCM wanachochea zaidi kwa matusi yao
 
Ni bora tukateseka kwa shida ya kunyimwa misaada na kutengwa na dunia tupate akili ya kutafuta haki na demokrasia ya kweli kuliko kunyenyekea ujinga na kutawaliwa na tusiowataka kisa ni ubabe na mabavu ya kutumia jeshi linalolipwa na kodi zetu.
 
Back
Top Bottom