LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Mfuko wa cement 35,000/ sukari kg 3500/.....Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuko wa cement 35,000/ sukari kg 3500/.....Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
je ni mazoea ama ni sheria imeelekeza lazima wawepo
😂😂😂😂😂Wa
Wanaogopa corona.
Tutashirikiana na China mkuuBila ya kuwa na ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania si chochote Duniani..
Hata kama mnaringia hizo rasilimali,mkitengwa hizo rasilimali mtamuuzia Nani?
CCM vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila TanzaniaBila ya kuwa na ushirikiano wa Kimataifa, Tanzania si chochote Duniani..
Hata kama mnaringia hizo rasilimali,mkitengwa hizo rasilimali mtamuuzia Nani?
Huyu babu ametuharibia nchi kabisaWalishasema uchaguzi ulikuwa na udanyifu na mauaji,utekaji n.k
Yes upo sahihi ila sidhani kama ni lazima kuwepo na siku ya kuapishwa walikuwepo asilimia kubwa,mbona hatukuona siredi......hakuna asiyejua namna utaratibu wa kura ulivyokuwa na changamoto,ila msiwaamini Sana hao jamaa,kumbuka wamekuja kuwakilisha nchi zao na wapo kwaajili ya maslahi ya nchi zao,Siyo kila kinachofanyika nchini wanakirupuka kutake actions.......wanamaslahi tao humu siyo watalii haoUnataka tuwe na mentality gani wakati hawa ndo wanaotulisha na kutusaidia kwa kiwango kikubwa sana?
Tanzania ni dona kantiriiCcm vilaza sana , wanadhani dunia itasimama bila Tanzania😂😂😂
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch SitaiwashaNaisi yajayo yanafurahisha saaana[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutashirikiana na China mkuu
Bado mko mkiani ndio maana bado mnapewa misaada hata ya kondomKwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......
Hujui wamemsindikiza Lisu bado hawajarudi
Zimbabwe anavikwazo vichache sana,tunapigwa mzigo wa Sudan uliomkimbiza al bashir au wa Korea ya kiduku au hata wa Iran maana CCM wanachochea zaidi kwa matusi yaoKwa hiyo watanzania tujiandae kuwa kama Zimbabwe muda si mrefu????
Yaaani inaoneka hadi South Korea na Japan wanataka kumwambia akale huko China alikopeleka mboga. kweli hali si hali!
Tatizo mkiachwa wenyewe waafrika ni kuuana tuKwa mentality hizi Africa tutabaki mkianiani tu.......