Kutokuwepo kwa umeme kila siku asubuhi na jioni mpaka usiku, tatizo ni nini?

Tatizo mabwawa hayana maji, hayajafanyiwa ukarabati toka mwaka 2015. Alisikika mtu mmoja ndani ya Nishati akinena kwa lugha ya kiswahili
 

Yote hii ni kwa hisani ya chama cha mapinduzi
 
Nchi ina gesi, maporomoko ya maji, makaa ya mawe, jua, upepo na volcano hai lakini umeme bado ni anasa! Kweli kupata maendeleo inahitaji akili zaidi kuliko rasilimali za asili.
Umenena ukweli mtupu. Akili ndiyo rasilimali kubwa kuliko chochote.

Leo hii, nchi kama Switzerland, isiyo na ardhi ya kilimo, isiyo na madini, gas wala mafuta, ina maendeleo makubwa maradufu ya Afrika kwa sababu ya akili, siyo rasilimali asilia.
 
Mkuu sema kweli,kumuona Rais milioni 200 mpaka 400 !!!
Ndiyo maana jamaa wapo tayari Watanzania wafe Ili wao watajirike!
Amini ninachokuambia. Lakini siyo standard figure. Mtu anaambiwa kiwango kutegemeana na wanavyomwona na tatizo analotaka asaidiwe.
 
Na wewe unalalamika?

PATHETIC [emoji817]
 
Kuna maboresho makubwa yanafanywa ktk mfumo wa usambazaji umeme ili hatimaye kuondoa kabisa tatizo la kukatika katika kwa umeme
Mbwa koko umeanza utetezi,hayo maboresho ni namna ya kupiga pesa, idiot
 
Ukweli mchungu
 

Huku kwa mtu mmoja mmoja kuna matatizo yetu, lakini huko kwa wawekezaji ni balaa. Watendaji wa Serikali, ukisikia tu wanaenda kukagua mahali, kilichopo vichwani mwao, ni kiasi gani cha pesa wataenda kupata. Sasa mwekezaji huyo akiamini kwamba ametimiza kila kitu, wakaguzi wakaondoka bila kitu, kitakachotokea ni kuwekewa vikwazo kila mahali.

Fikiria kuwa, huenda umekwishawekeza bilioni 50 au 100. Na hawa watu wanaotengeneza mazingira ya rushwa ni watu wanaokuwa karibu sana na Mawaziri. Mwekezaji atakapoenda kwa Waziri, hapati msaada wowote kwa sababu yanayokuwa yanaendelea ama Waziri anayafahamu ama naye alistahili kuwa mfaidika wa hizo pesa zilizokuwa zinatafutwa toka kwa mwekezaji. Ikishafika hapo, mwekezaji anakuwa hana namna nyingine zaidi ya kutaka kukutana na Rais. Hapo tena anakutana na kizingiti kingine kutoka kwa hao wanaamua nani akutane na Rais.

Kwa ujumla ni hali iliyozoeleka, Mawaziri kuona wawekezaji waliopo chini ya Wizara zao, wanalazimika kuwapa pesa kwa matumizi yao binafsi kila wanapohitaji. Mwekezaji asipotoa, tayari amejiwekea mazingira magumu ya kitega uchumi chake.
 
Tatizo la kukatika umeme mara kwa mara hapa kwetu sababu zipo ambazo wataalam watawala na watawala wanasiasa uzitoa kama vile ni fashion. Ili tuondokane na tatizo ili si mara ya kwanza ni/tunatoa suluhu kabisa. Kuna mashirika ya umma ambayo yanabidi yawe yanajitegemea n kabisa na viongozi wake wawe ni watu wanao omba kazi na kupitishwa na jopo maalum nasio aya aya ya kuteuana kwa kujua na uanasiasa.
Wazari tulie nae awajibiki, wataalam na viongozi wa shirika ni wanasiasa ambao awawajibiki kwa wanasiasa wenzao.
TUPO GIZANI SI KWA KUPENDA BALI KWA KUTAKA
 
Makamba
 
Aisei duh! Sikuwa nafahamu. Naomba pm. 🙏🙏🙏
 
Umasikini, Umasikini, Umasikini... nchi ikiwa masikini tegemea yafuatayo...

Umeme kukatika....
Hii hutokana na kutokuwa na vyanzo vingi vya umeme kupelekea mgao, technology ya overhead husababisha umeme kukatika, nk.

Ajali za Barabarani....
Bajeti ya Barabarani nzuri na pana hakuna..

Wastani wa umri kuwa mdogo...
Kutokana na huduma za afya na aina ya vyakula basi maisha lazima yawe mafupi..

Wasomi wenye uwezo mdogo...
Leo hii mtu anamaliza Form Six bado hajui professionalism yake ni nini? Wakati wenzetu mtoto wa miaka 5 tayari wameanza kujua huyu anapenda nini na anajikita huko.

Kilimo Duni..

Mambo ni mengi sana...


Katiba
Katiba


Plus CCN
 
Tunajiandaa kuiuzia Sazafrika umeme.
 
Eng Bams, your respect

rejea juzi juzi tu hapa ulikuja juu kumrukia JPM alivyokuwa “mshenzi”, yaani hukumung’unya maneno, sikutaka kukomenti kwa sababu ulikuwa biased sana, yaani JPM was nothing, more than evil. That was your word of wisdom by my conclusion.

Leo umekuja na hii, nimesoma sasa nasha huyu Great Thinker” kaandika hii thread, this is complete exoneration of Mr Magu the Great - to you.
Kila kitu ulichoandika kwenye ile topic hakuna evidence yoyote. Great thinks wanasema “no evidence no comment”.

John Myika amewahi kusema “Rais huyu (JK) anacheka cheka tu,“ that was real na umeona nchi ilivyokuwa 400 prisoners of drug trafficking in Hong Kong, nchi ilikuwa shamba la bibi

Huyu sasa karudia yale yale na nyie mna sema ati the best, are you kidding?

Hii thread umemsafisha sana JPM we need the best president Kwa Kiswahili tuahitaji Rais mkali siyo hawa wa kucheka Cheka ili mradi awaridhishe cronies,
Kwa uandishi wako wa leo ni kweli kabisa you need somebody like JPM

Sisemi kuwa alikuwa mzuri kote he was a dictator real dictator, lakini in the second term angebadirika. Hamna Rais ambaye amewahi kuwa mzuri hata kabla ya magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…