Ni mwanamke, choo karibia kila siku napata na wala hainipi tabu ila kuanzia juzi ndo yameanza matatizo haya nahisi kwnda haja lakini nikienda inakua tabu kutoka na inakua ngumu hadi nahisi maumivu.Hujatuambia wewe ni Mwanamke au Mwanamme? Unapata haja kubwa kwa wiki mara ngapi? Na hiyo haja kubwa unayoipata unaipata kwa urahisi? au choo ukipata kwa njia ngumu? ninaomba majibu kwako.@aisherjs
Jamani nisaidieni, jana usiku nilienda haja kubwa cha kushangaza haja ilikua ngumu kutoka nilipojitahidi kuikamua nilihisi maumivu makali then nikaona vidamu vinadondoka nikashindwa kuendelea na haja leo mchana haja ikanibana tena nikaenda msalani mambo yakawa yale yale ya jana hapa nilipo hata kukaa kitako nashindwa kwa maumivu, sijui tatizo ni nini naomba msaada. It is serious jaman msichukulie joke