Kutokwa damu

Kutokwa damu

aisherjs

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
28
Reaction score
7
Jamani nisaidieni, jana usiku nilienda haja kubwa cha kushangaza haja ilikua ngumu kutoka nilipojitahidi kuikamua nilihisi maumivu makali then nikaona vidamu vinadondoka nikashindwa kuendelea na haja leo mchana haja ikanibana tena nikaenda msalani mambo yakawa yale yale ya jana hapa nilipo hata kukaa kitako nashindwa kwa maumivu, sijui tatizo ni nini naomba msaada. It is serious jaman msichukulie joke.
 
Hujatuambia wewe ni Mwanamke au Mwanamme? Unapata haja kubwa kwa wiki mara ngapi? Na hiyo haja kubwa unayoipata unaipata kwa urahisi? au choo ukipata kwa njia ngumu? ninaomba majibu kwako.@aisherjs
 
Hujatuambia wewe ni Mwanamke au Mwanamme? Unapata haja kubwa kwa wiki mara ngapi? Na hiyo haja kubwa unayoipata unaipata kwa urahisi? au choo ukipata kwa njia ngumu? ninaomba majibu kwako.@aisherjs
Ni mwanamke, choo karibia kila siku napata na wala hainipi tabu ila kuanzia juzi ndo yameanza matatizo haya nahisi kwnda haja lakini nikienda inakua tabu kutoka na inakua ngumu hadi nahisi maumivu.
 
Inaonekana katika siku hizi mbili ulikula vitu vigumu vinavyopelekea haja kua yabisi..mf kama umetumia vitu vya ngano zaidi vinaweza kusababisha haja kua yabisi! Hivyo basi jitahidi kula matunda ya kulainisha haja kwa wingi kama vile Mapapai na parachichi!

Wakati wa kula anza kula haya matunda kwa wingi
MAUMIVU YAKIZIDI KAMUONE DAKTARI
 
Jamani nisaidieni, jana usiku nilienda haja kubwa cha kushangaza haja ilikua ngumu kutoka nilipojitahidi kuikamua nilihisi maumivu makali then nikaona vidamu vinadondoka nikashindwa kuendelea na haja leo mchana haja ikanibana tena nikaenda msalani mambo yakawa yale yale ya jana hapa nilipo hata kukaa kitako nashindwa kwa maumivu, sijui tatizo ni nini naomba msaada. It is serious jaman msichukulie joke

Diet ya mapera ni mbaya sana! Hasa kwa kina mama!
Na ugali wa muhogo na hii mimboga ya majani haifai!!

Na km hali ya maisha imebana sana basi ukila hivyo vitu, usisahau kuteremshia na papai au maembe, vinalainisha tumbo kidogo!

Kama ni issue ya siku chache wala uskonde!
Ukizidi wiki bado unatoka hio damu!
Nenda hospitali faster!
 
Kula matunda kama mapapai, maparachichi, tikiti maji, pamoja na mboga za majani 70% of your meal. Epuka kula ndizi mbivu. Kabla ya kula chakula chochote kunywa maji glass moja. Epuka kula mikate.
Hii tunaita costipation.

Tumia hasa mapapai na michicha hutapata tena shida, acha kula chips.
 
Jaman nashukuru kwa ushauri wenu umenisaidia kwa asilimia 75 leo nimepata. Choo lain hata maumivu sijayasikia sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom