Jamani nisaidieni, jana usiku nilienda haja kubwa cha kushangaza haja ilikua ngumu kutoka nilipojitahidi kuikamua nilihisi maumivu makali then nikaona vidamu vinadondoka nikashindwa kuendelea na haja leo mchana haja ikanibana tena nikaenda msalani mambo yakawa yale yale ya jana hapa nilipo hata kukaa kitako nashindwa kwa maumivu, sijui tatizo ni nini naomba msaada. It is serious jaman msichukulie joke.