Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

Kuna demu mtaani hapa nae yuko kama huyu anatoa damu wakati Wa kuduu .

Huyu yeye alitoaga mimba ndo mambo yakaana kutokea

So ni bora aende hospitali haraka sana
 
aisee pole my dear!..nenda kwa wataalam na huyo mpenzi wako yawezekana maumbile yake pia anahitaji kuvalishwa pete maana hatari hyo usije sukuma kizazi buree kisa midudu! Nenda kwa wataalam
 
habari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..

naomba msaada Kujua tatzo ni nn?

And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
Pole Sana

Kutokwa na damu Mara baada ya tendo ni dalili ambayo inaashiria kuwepo kwa kidongo/vidonda kwenye shingo ya kikazi (cervix) au kwenye ukuta wa ndani wa uke (vaginal wall) sababu zinazoweza kusababisha hali hiyo ni pamoja na:-

1. Saratani ya shingo ya kikazi (cervical carcinoma) ambapo mama huona damu Mara anapomaloza tendo la ngono au anapojitawaza kawaida huwa anatokwa na damu pasipo maumivu (painless contact bleeding) pia wanatokwa na maji yenye harufu mbaya (foul smelling vaginal discharge)
2. Michubuko kwenye shingo ya kikazi kunakosababishwa na uambukizo. (cervicitis) chanzo ni uambukizo wa vimelea vya bakiteria hasa hasa mgonjwa ya zinaa kama vile kisonono.
3. Michubuko kwenye kuta ya uke kunaweza sababisha hali hiyo ambayo inaweza kusababishwa na dry sex.

Maumivu wakati wa tendo ni ishara kuwa viungo vyako vya uzazi vya ndani yaani mfuko wa uzazi, mirija au kokwa za mayai (uterus, fallopian tubes and ovaries) kuwa vimepata uambukizo ambao kwa asilimia kubwa ni matokeo ya kutotibiwa mapema mgonjwa ya zinaa.

Nakushauri fika hospitali iliyokaribu na wewe kwa uchunguzi na tiba.

Nawasilisha!!
 
nashukuru sana ubarikiwe
 
hivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.
remember u have sisters if not daughters na kama hauna ipo siku utawapata and the same shit can happen to them.##tuzikwazane
Humu kawaida watu wa namna hi so chukulia kawaida matatizo yako yatapona pale utakapo pata tiba ya hospitali mana hata hawa wanaokukebehi ndo huwa wanahangaika kuwapa hela wachumba zao wakatoe mimba kisa kukimbia majukumu..JF lina watu wa kila aina hadi wahuni wa mtaa so akili kumkichwa
 
Pole. Bila shaka ulitumia misoplasto ya kuweka vidonge ukeni na vingine kumeza. Ni hatari kama mimba ilikuwa kubwa. Nakushauri nenda kwa daktari wa magonjwa ya wanawake then kacheki na kizazi pia
 
hivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.
remember u have sisters if not daughters na kama hauna ipo siku utawapata and the same shit can happen to them.##tuzikwazane
Hapa hakuna kukwazana tunaambiana ukweli. Je hujui abortion ina madhara gani kiafya? Abortion can lead to numerous and serious medical complication like bleeding, uterine perforation, Infection, blood clot, Cardiac arrest, Sepsis, Respiratory arrest, Cervical tears, hemorrhage, fertility problem even death.

Je hujui sheria za kutoa mimba? Abortion is criminal offence regulated by penal code of Tanzania chapter 16, section 150-152. The performance of abortion is generally prohibited. Any person who, with intent to procure the miscarriage of women, whether she is pregnant or not, unlawfully uses any means upon her is subject to 14 year's imprisoment.

Raha ule peke yako matatizo utushirikishe, wakati unapunua ulitegemea nini? Je hukujua utapata mimba? Leo huyo mtoto uliye mtoa asiye na kosa lolote toka 2013 angekuwa na miaka mingapi? Mbona nyie wanawake mna roho mbaya namna hii? Mimi sikupi pole kwa maradhi ya kujitakia hiyo ni laana na kama ujapata mtoto kumbuka hutampata tena.

Nachukia sana watoa mimba, mnagawa vitumbua vyenu hovyohovyo mkipata mimba mnakmbilia kutoa. Nakumbuka Shangazi yangu akiwa binti alitoa mimba sana, kaingia kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto mume akamuacha mpaka Leo ana mvi hata mtoto wa kusingiziwa hana analia na kujuta. Jirekebisheni nyie wadogo zangu wa kike.
 
Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.
Mkuu,
Ebu naomba nimtete huyu mdada. Kuna mambo yanawapata dada/mama na hata binti zetu na wanajikuta wanalazimishwa kutenda dhambi hata kwa kutokujua ama kuto kukusudia.
Hii yaweza sababishwa na mazingira, umasikini au hata umri na wakati wanao upitia katika changamoto za maisha ya kilasiku.
Ebu tusi muhukumu, kwanza tumsaidie aiseeee
 
mimi hyo style nilishaiaga zamani kwanza unaweza fumuliwa marinda buree??
fanya kifo cha mende tu hataki aache
huwa namtel naumia at least tufanye spooning ila yeye anakomaa na hyo cuz anaipenda sana
 
I will work on it lakini..cuz huwa natamani amwage haraka cuz ya maumivu nikimtel bby naumia anaacha but he says nna masharti bed[emoji17]
 
Hapa hakuna kukwazana tunaambiana ukweli. Je hujui abortion ina madhara gani kiafya? Abortion can lead to numerous and serious medical complication like bleeding, uterine perforation, Infection, blood clot, Cardiac arrest, Sepsis, Respiratory arrest, Cervical tears, hemorrhage, fertility problem even death.

Je hujui sheria za kutoa mimba? Abortion is criminal offence regulated by penal code of Tanzania chapter 16, section 150-152. The performance of abortion is generally prohibited. Any person who, with intent to procure the miscarriage of women, whether she is pregnant or not, unlawfully uses any means upon her is subject to 14 year's imprisoment.

Raha ule peke yako matatizo utushirikishe, wakati unapunua ulitegemea nini? Je hukujua utapata mimba? Leo huyo mtoto uliye mtoa asiye na kosa lolote toka 2013 angekuwa na miaka mingapi? Mbona nyie wanawake mna roho mbaya namna hii? Mimi sikupi pole kwa maradhi ya kujitakia hiyo ni laana na kama ujapata mtoto kumbuka hutampata tena.

Nachukia sana watoa mimba, mnagawa vitumbua vyenu hovyohovyo mkipata mimba mnakmbilia kutoa. Nakumbuka Shangazi yangu akiwa binti alitoa mimba sana, kaingia kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto mume akamuacha mpaka Leo ana mvi hata mtoto wa kusingiziwa hana analia na kujuta. Jirekebisheni nyie wadogo zangu wa kike.
kasema alifanya abortion ndio
ila hajasema kwanini
hvi unajua kuna mtu anakuwa na mimba hali ya hatare anaweza kufa inabidi afanyiwe abortion je klama huyu ni muhanga?
 
Back
Top Bottom