Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Pole Sanahabari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..
naomba msaada Kujua tatzo ni nn?
And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
nashukuru sana ubarikiwePole Sana
Kutokwa na damu Mara baada ya tendo ni dalili ambayo inaashiria kuwepo kwa kidongo/vidonda kwenye shingo ya kikazi (cervix) au kwenye ukuta wa ndani wa uke (vaginal wall) sababu zinazoweza kusababisha hali hiyo ni pamoja na:-
1. Saratani ya shingo ya kikazi (cervical carcinoma) ambapo mama huona damu Mara anapomaloza tendo la ngono au anapojitawaza kawaida huwa anatokwa na damu pasipo maumivu (painless contact bleeding) pia wanatokwa na maji yenye harufu mbaya (foul smelling vaginal discharge)
2. Michubuko kwenye shingo ya kikazi kunakosababishwa na uambukizo. (cervicitis) chanzo ni uambukizo wa vimelea vya bakiteria hasa hasa mgonjwa ya zinaa kama vile kisonono.
3. Michubuko kwenye kuta ya uke kunaweza sababisha hali hiyo ambayo inaweza kusababishwa na dry sex.
Maumivu wakati wa tendo ni ishara kuwa viungo vyako vya uzazi vya ndani yaani mfuko wa uzazi, mirija au kokwa za mayai (uterus, fallopian tubes and ovaries) kuwa vimepata uambukizo ambao kwa asilimia kubwa ni matokeo ya kutotibiwa mapema mgonjwa ya zinaa.
Nakushauri fika hospitali iliyokaribu na wewe kwa uchunguzi na tiba.
Nawasilisha!!
Poanashukuru sana ubarikiwe
Humu kawaida watu wa namna hi so chukulia kawaida matatizo yako yatapona pale utakapo pata tiba ya hospitali mana hata hawa wanaokukebehi ndo huwa wanahangaika kuwapa hela wachumba zao wakatoe mimba kisa kukimbia majukumu..JF lina watu wa kila aina hadi wahuni wa mtaa so akili kumkichwahivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.
remember u have sisters if not daughters na kama hauna ipo siku utawapata and the same shit can happen to them.##tuzikwazane
Inasikitisha sana..[emoji25] [emoji25]mkuu kuna watu wanajiona miungu humu ila malipo yao ni hapa hapa duniani
mimi hyo style nilishaiaga zamani kwanza unaweza fumuliwa marinda buree??style zote but sanasana doggystyle and ndo inaniumiza adi niweke mto tumboni
sana mkuu mimi huwa najibu pumba ila sio kwenye matatizo ya mtu bora kwa lowassa huko siasa haina adabu ujueInasikitisha sana..[emoji25] [emoji25]
Hapa hakuna kukwazana tunaambiana ukweli. Je hujui abortion ina madhara gani kiafya? Abortion can lead to numerous and serious medical complication like bleeding, uterine perforation, Infection, blood clot, Cardiac arrest, Sepsis, Respiratory arrest, Cervical tears, hemorrhage, fertility problem even death.hivi kwani huwezi kutoa msaada bila kanitukana..?if huwezi then shut up please cuz hujui nna maumivu kiasi gani adi kuanika hapa.
remember u have sisters if not daughters na kama hauna ipo siku utawapata and the same shit can happen to them.##tuzikwazane
Mkuu,Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.
kasema alifanya abortion ndioHapa hakuna kukwazana tunaambiana ukweli. Je hujui abortion ina madhara gani kiafya? Abortion can lead to numerous and serious medical complication like bleeding, uterine perforation, Infection, blood clot, Cardiac arrest, Sepsis, Respiratory arrest, Cervical tears, hemorrhage, fertility problem even death.
Je hujui sheria za kutoa mimba? Abortion is criminal offence regulated by penal code of Tanzania chapter 16, section 150-152. The performance of abortion is generally prohibited. Any person who, with intent to procure the miscarriage of women, whether she is pregnant or not, unlawfully uses any means upon her is subject to 14 year's imprisoment.
Raha ule peke yako matatizo utushirikishe, wakati unapunua ulitegemea nini? Je hukujua utapata mimba? Leo huyo mtoto uliye mtoa asiye na kosa lolote toka 2013 angekuwa na miaka mingapi? Mbona nyie wanawake mna roho mbaya namna hii? Mimi sikupi pole kwa maradhi ya kujitakia hiyo ni laana na kama ujapata mtoto kumbuka hutampata tena.
Nachukia sana watoa mimba, mnagawa vitumbua vyenu hovyohovyo mkipata mimba mnakmbilia kutoa. Nakumbuka Shangazi yangu akiwa binti alitoa mimba sana, kaingia kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto mume akamuacha mpaka Leo ana mvi hata mtoto wa kusingiziwa hana analia na kujuta. Jirekebisheni nyie wadogo zangu wa kike.
ni mumeo?I will work on it lakini..cuz huwa natamani amwage haraka cuz ya maumivu nikimtel bby naumia anaacha but he says nna masharti bed[emoji17]
Kutabiri ulianza lini?Ulishawahi kufanya arbotion?
[emoji1] [emoji1]Kutabiri ulianza lini?