Kutokwa na damu baada ya kufanya mapenzi..

I will work on it lakini..cuz huwa natamani amwage haraka cuz ya maumivu nikimtel bby naumia anaacha but he says nna masharti bed[emoji17]
Lakini binti.....
Hebu usiendekeze kuharibu mwili na afya yako kwa kutaka kumfurahisha mwanaume aiseeee......
Kwa taarifa yako sisi wanaume hatujawahi kutosheka, na tumekua na tabia ya kupenda kufanya visingizio kibao kwa kuangalia wapi udhaifu wako ulipo.
Jifundishe kujisimamia na hii itakufanya uheahimiwe na hao unao wait bby, maana mwisho wa siku bby akijua unampenda kupita kiasi anaweza tumia nafasi hiyo kuku fumua hata rinda kwakua atakua akijua hauwezi uka kataa.
 
asante kwa ushauri.ntaachaa aise
 
Kumbe ni uzinzi kama kawaida, uchumba gani wa kuvuana chupi? Ebu elezea nini maana ya uchumba. Nyie wanawake wa Siku hizi shida tupu.
The only thing u seem to know is black and white..so wewe ni mtakatifu? au wewe uliyowavua chupi wote umewaoa...nakubali Kusemwa kwa Makosa yng but don't judge me
 
naona comments nyingi halafu za msaada chache.
mkuu we wahi hospitali ujieleze vizuri uchunguzwe, inaweza ikawa effects za abortion uliyofanya hapo nyuma, michubuko au moja ya PID(pelvic inflammatory diseases).
tena hapo inaonesha tatizo bado dogo sana na linatatulika kurahisi tu.
wahi hospitali dia hapa story nyingi
 
Kumbe we muaji ? Na bado huko uraini na unataka msaada? Hilo tatizo lako limesabishwa na kutoa mimba sina imani kama ni tatizo jingine. Japo una matatizo lakin unalaana pumbavu.

Toka lini Weye umekuwa muhukumu. Huyo dada nishujaa kuliko Watu wengi hapa JF pamoja Na weye.Je Weye unaweza andika hapa ukweli wako? Laana Na upumbavu unao Wewe.
Hujui Kama alibakwa? Au uhai wake ulikuwa hatarini Na hiyo mimba? Eti "sina Imani"
Eli iweje?
Ningee indelea Ila Katiba ya JF
 
Wewe ni kenge wa mayai, mpuuzi pekee ndiye atakayesapoti ujinga na uwendawazimu huu. Abortion is a public matter because the policy which permit it has profound and wide spread social effect. Abortion affect both men and women, beyond that, abortion is human issue, not a gender issues pumbavu. Every abortion kills an innocent human being, wote kwa pamoja we should stand against it.

Atoe uthibitisho mwenyew hapa kwamba alibakwa ndipo akachukua maamuzi yakuitoa hiyo mimba. Lkn sio wew kenge umsemee, unakaa kusapoti upumbavu. Ni tabia yao mabinti wa kike kutoa mimba hovyohovyo, madhara yake ni makubwa kiafya licha ya mauaji, wameisha zoea kuzichomoa, alafu wewe unaleta povu hapa kutetetea ujinga na lugha yako ya weye mi sio shoga lugha hiyo ongea na mashoga wenzako bwana mdogo.
 
mke wangu alikuwa hivyo kuna dawa alipewa hospital tatizo likapotea kabisa hadi leo,tukikwichi kwichi hakuna tena damu mwisho wa tendo hiyo dawa inaitwa "candistat"
 
The only thing u seem to know is black and white..so wewe ni mtakatifu? au wewe uliyowavua chupi wote umewaoa...nakubali Kusemwa kwa Makosa yng but don't judge me
Nimekuuliza nini maana ya uchumba je umenijibu? Uchumba wenu wa kuvuana chupi kila Siku huo ndio uchumba? Mwisho wa Siku mkipata mimba namnakimbilia kwenda kutoa, wew unaona raha sana kuelezea ujinga wako hapa! Je unakumbuka sababu iliyopelekea kutoa mimba 2013, mpaka leo kimebaki kidonda licha ya kuua? Je unajua Sababu ni hiyo hiyo ulivua chupi bila mpango na ukapata mimba bila kupanga ukatoitoa bila kufikiri? Je ukujua madhara ya kutoa mimba? Je unajua hapo ulipo wewe ni muaji wa kiumbe kisicho na hatia?
 
huwa namtel naumia at least tufanye spooning ila yeye anakomaa na hyo cuz anaipenda sana

Inaonekana una big booty. Maana hiyo style ndo inanoga kwa watu wa namna hiyo [emoji12] ([emoji12] .[emoji12]..[emoji13] I[emoji13]ts[emoji13] a joke )

....Back to topic.

Jaribu kwenda hospitali ukacheki nini tatizo. Hope yote yatakuwa salama, na utakuja kuitwa mama baadae. But ripoti hospitalini na ufunguke kama ulivyofunguka hapa usione aibu.
 
Duh umebarikiwa bikra nyingi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…