staki kuongelea hyo kitu...Nimekuuliza nini maana ya uchumba je umenijibu? Uchumba wenu wa kuvuana chupi kila Siku huo ndio uchumba? Mwisho wa Siku mkipata mimba namnakimbilia kwenda kutoa, wew unaona raha sana kuelezea ujinga wako hapa! Je unakumbuka sababu iliyopelekea kutoa mimba 2013, mpaka leo kimebaki kidonda licha ya kuua? Je unajua Sababu ni hiyo hiyo ulivua chupi bila mpango na ukapata mimba bila kupanga ukatoitoa bila kufikiri? Je ukujua madhara ya kutoa mimba? Je unajua hapo ulipo wewe ni muaji wa kiumbe kisicho na hatia?
nimetoa thread kuomba msaada kama huna msaada wotewote plz kaa pembeni..umengangania hyo mimba nilikosea ndiyo ila mazingira yaliyonipelekea kupata hyo mimba yananiumiza sana sitaki kuzungumzia Hilo swala.Nimekuuliza nini maana ya uchumba je umenijibu? Uchumba wenu wa kuvuana chupi kila Siku huo ndio uchumba? Mwisho wa Siku mkipata mimba namnakimbilia kwenda kutoa, wew unaona raha sana kuelezea ujinga wako hapa! Je unakumbuka sababu iliyopelekea kutoa mimba 2013, mpaka leo kimebaki kidonda licha ya kuua? Je unajua Sababu ni hiyo hiyo ulivua chupi bila mpango na ukapata mimba bila kupanga ukatoitoa bila kufikiri? Je ukujua madhara ya kutoa mimba? Je unajua hapo ulipo wewe ni muaji wa kiumbe kisicho na hatia?
mchumba ni mtu unayetegemea kufunga nae ndoa.that's the same here ndo maana nataka nitatue hili tatzo..but nishapata ushauri mzuri and I think wewe you should stay with your opinionsnimetoa thread kuomba msaada kama huna msaada wotewote plz kaa pembeni..umengangania hyo mimba nilikosea ndiyo ila mazingira yaliyonipelekea kupata hyo mimba yananiumiza sana sitaki kuzungumzia Hilo swala.
Cancer of cervix .. most feature ni post coital bleeding wahi medical for further evaluationhabari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..
naomba msaada Kujua tatzo ni nn?
And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
Hizo style ni za wagumba waliotolewa vizazi..Mwambie jamaa mjaribu Paka Chongo, Nenda mwanakwenda..Akishindwa nitafute nikupe mfano then ukamuonyeshe[emoji2] [emoji2] [emoji2]style zote but sanasana doggystyle and ndo inaniumiza adi niweke mto tumboni
Wewe utakuwa unamuonea wivu katoa mimba..Toa basi na wewe acha hasiraHapa hakuna kukwazana tunaambiana ukweli. Je hujui abortion ina madhara gani kiafya? Abortion can lead to numerous and serious medical complication like bleeding, uterine perforation, Infection, blood clot, Cardiac arrest, Sepsis, Respiratory arrest, Cervical tears, hemorrhage, fertility problem even death.
Je hujui sheria za kutoa mimba? Abortion is criminal offence regulated by penal code of Tanzania chapter 16, section 150-152. The performance of abortion is generally prohibited. Any person who, with intent to procure the miscarriage of women, whether she is pregnant or not, unlawfully uses any means upon her is subject to 14 year's imprisoment.
Raha ule peke yako matatizo utushirikishe, wakati unapunua ulitegemea nini? Je hukujua utapata mimba? Leo huyo mtoto uliye mtoa asiye na kosa lolote toka 2013 angekuwa na miaka mingapi? Mbona nyie wanawake mna roho mbaya namna hii? Mimi sikupi pole kwa maradhi ya kujitakia hiyo ni laana na kama ujapata mtoto kumbuka hutampata tena.
Nachukia sana watoa mimba, mnagawa vitumbua vyenu hovyohovyo mkipata mimba mnakmbilia kutoa. Nakumbuka Shangazi yangu akiwa binti alitoa mimba sana, kaingia kwenye ndoa miaka 10 bila mtoto mume akamuacha mpaka Leo ana mvi hata mtoto wa kusingiziwa hana analia na kujuta. Jirekebisheni nyie wadogo zangu wa kike.
maskini pole mi mwanaume en i dont have any experience on that so try to see the specialist humu watakukatisha tamaa tu hawana wanachojua my dear take care
Basi pole sana, Mungu akujalie uzima na afya tena, na usirudie kitendo hicho katika maisha yako yote. Amani ya bwana iwe pamoja nawe. Kikubwa zaidi kamuone daktari mwelezee kweli, naamini tiba itapatikana. Asantenimetoa thread kuomba msaada kama huna msaada wotewote plz kaa pembeni..umengangania hyo mimba nilikosea ndiyo ila mazingira yaliyonipelekea kupata hyo mimba yananiumiza sana sitaki kuzungumzia Hilo swala.
Asante ..siwez toa tenaBasi pole sana, Mungu akujalie uzima na afya tena, na usirudie kitendo hicho katika maisha yako yote. Amani ya bwana iwe pamoja nawe. Kikubwa zaidi kamuone daktari mwelezee kweli, naamini tiba itapatikana. Asante
Mungu anaona haya yote yanayoendelea.mkuu kuna watu wanajiona miungu humu ila malipo yao ni hapa hapa duniani
Wewe ni kenge wa mayai, mpuuzi pekee ndiye atakayesapoti ujinga na uwendawazimu huu. Abortion is a public matter because the policy which permit it has profound and wide spread social effect. Abortion affect both men and women, beyond that, abortion is human issue, not a gender issues pumbavu. Every abortion kills an innocent human being, wote kwa pamoja we should stand against it.
Atoe uthibitisho mwenyew hapa kwamba alibakwa ndipo akachukua maamuzi yakuitoa hiyo mimba. Lkn sio wew kenge umsemee, unakaa kusapoti upumbavu. Ni tabia yao mabinti wa kike kutoa mimba hovyohovyo, madhara yake ni makubwa kiafya licha ya mauaji, wameisha zoea kuzichomoa, alafu wewe unaleta povu hapa kutetetea ujinga na lugha yako ya weye mi sio shoga lugha hiyo ongea na mashoga wenzako bwana mdogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaniua mkuu hapo kwenye kufumuliwa linda ...mimi hyo style nilishaiaga zamani kwanza unaweza fumuliwa marinda buree??
fanya kifo cha mende tu hataki aache
Owh, so sorry, hilo tatizo linawapata wanawake mostly ambao washawahi kufanya abortion. Sometimes ni effects za dawa wanazotumia or method ilotumika kufanikisha hio abortion. Or else sometimes ni signs za cervical cancer or kuwa na vidonda kwenye uzazi. See the real doctor. In case uko Arusha, visit Selian hospital. A lady close to me had the same problems but the problem was resolved after she visited the above mentioned hospital.habari Zenu ndugu,.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nimekuwa nikitokwa na damu ( siyo nyingi lakini) kila baada ya sex au katikati ya tendo..na ninakuwa nishamaliza period like a week or two weeks..
naomba msaada Kujua tatzo ni nn?
And also Nikiwa nafanya mapenzi kuna wakati naumia tumbo Mpaka nahsi kizazi kinatoka but nikiweka mto tumboni siskii maumivu..please help
"Weye" ndio lugha gani bwana mdogo. Siwezi kubishana na toto lilozaliwa guest. Kajifunze lugha kisha uje uandike vizuri sawa kijana.Kwahivyo unaficha ujinga wako Kwa KiswanGlishi chako.WEYE ni Kama Nani kumkemea mtoa mada? Mbona WEYE ni shoga Watu hawakukemei kwa Sababu ni maamuzi yako.
Ubarikiwe dada yangu.Asante ..siwez toa tena