Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
Dokta au mtu wa famasi? Njia hizi za kuweka juu na chini ni sio sahihi japo zinakamilisha lengo.Alitumia njia ya vidonge alimeza na kupachika ukeni, alishazaa mtoto mmoja, alifanya hivo ikiwa Ijumaa halafu Jumapili akaanza kutumia ampclox na metronidazole kwa kufuata ushauri wa doctor.
Kwenye hiyo pharmacy wanachukua hadi vipimo yaani watu wanatibiwa hapo na huyo aliyemuattend ndo doctor wa hapo.Dokta au mtu wa famasi? Njia hizi za kuweka juu na chini ni sio sahihi japo zinakamilisha lengo.
mimba ilikua na umri wa wiki moja au mbili, alitumia njia ya vidonge alimeza na kupachika ukeni , baada ya kutoa alitumia ampclox na metronidazole ..... Sijui kama alishawahi kutoa mimba au la .... Ndiyo ana mtoto mmoja.Ndg nenda hosp acha kuchezea maisha yako . abortion ni kosa lakini haikuzui kwenda hospitalini. Tena wahi mapema. Yapo maswali mengi hapo kwanza mimba ilikua na umri gani, ulitumia njia gani kuitoa , baada ya kutoa ulitumia dawa gani..... Ni mimba yako ya kanza kutoa .... Je umeshawahi kuzaa ... Nakushauri wahi hosp
Sio kila tatibu anatibu kwa kujali maisha ya mgonjwa....Kwenye hiyo pharmacy wanachukua hadi vipimo yaani watu wanatibiwa hapo na huyo aliyemuattend ndo doctor wa hapo.
Hv mimba ya umri huo inaonekana kweli kwenye vipimo au mlihisi tu?mimba ilikua na umri wa wiki moja au mbili, alitumia njia ya vidonge alimeza na kupachika ukeni , baada ya kutoa alitumia ampclox na metronidazole ..... Sijui kama alishawahi kutoa mimba au la .... Ndiyo ana mtoto mmoja.
Nahisi wiki moja au mbili kutokana na mzunguko wake wa hedhi, kwa sababu tar aliyotakiwa kuanza mzunguko wake haikuwa hivi zikapita siku Tatu zaidi ndo akacheck akajikuta mjamzito ndo maana nasema Ilikuwa na wiki moja au mbili.Hv mimba ya umri huo inaonekana kweli kwenye vipimo au mlihisi tu?
Kwenye hiyo pharmacy wanachukua hadi vipimo yaani watu wanatibiwa hapo na huyo aliyemuattend ndo doctor wa hapo.
27Kazi ipo anamiaka mingap huyo demu wako kwz tuanzie hapo