Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

Hizi Misoprostol zitamaliza watu duh....hiyo ni Incomplete Abortion.....na kinachofanya aendelee kubleed ni Retained Products of Conception(mabaki ya mimba)......na kwa hakika atableed hadi abaki mweupe na kuoza ndani taratibu hadi kufa kabisa kama hataenda hospital faster ili wafanye Manual Vacuum Aspiration(MVA) maarufu kama kusafishwa....
 
Umri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
 
Aende hosiptali asije kufa lakini akiwa anaenda apitie polisi kuchukua PF3 maana hio ni kesi kabisa..
Na akinikuta mimi ntamuhudumia vizuri kabisa lakini akipona namrepoti polisi wamalizane na sheria
 
Nahisi wiki moja au mbili kutokana na mzunguko wake wa hedhi, kwa sababu tar aliyotakiwa kuanza mzunguko wake haikuwa hivi zikapita siku Tatu zaidi ndo akacheck akajikuta mjamzito ndo maana nasema Ilikuwa na wiki moja au mbili.
Umri wa mimba haupimwi hivyo mkuu, unapimwa kuanzia ile tarehe ya mwisho mwanamke kuingia ktk mzunguko wake.

So wakikwambia vidonge vinatoa mpaka 12 weeks inabidi upige mahesabu kihivyo.
 
Hizi Misoprostol zitamaliza watu duh....hiyo ni Incomplete Abortion.....na kinachofanya aendelee kubleed ni Retained Products of Conception(mabaki ya mimba)......na kwa hakika atableed hadi abaki mweupe na kuoza ndani taratibu hadi kufa kabisa kama hataenda hospital faster ili wafanye Manual Vacuum Aspiration(MVA) maarufu kama kusafishwa....
Hahahahahaha naona mkuu unatisha watu, mleta mada usisikilize maneno ya huyu mtu.
 
Umri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
Kabisa Mkuu, hapo ni kuongozwa sara ya toba tu.
 
Hahahahahaha naona mkuu unatisha watu, mleta mada usisikilize maneno ya huyu mtu.
Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muache
 
Angalia yasije yakamkuta yaliyomkuta Patricia wa Elvis ndani ya I DIED TO SAVE MY PRESIDENT
 
Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muache
Misoprostol inafanya kazi effectively endapo mimba ikawa haizidi miezi 3. Mistro inapaswa kutumiwa kwa njia ya mdomoni ili kuleta ufanisi mzuri, hapa zahitajika vidonge si chini ya 12-15.

Njia nzuri wanayoshauri wataalamu ni mtu kumeza mifepristone, akae masaa 24 kisha aweke kidonge kimoja TU cha Misoprostol ktk uke.
 
Mie nauliza jaman dawa za kuzuia mimba mf. Sindano na madawa ya uzazi wa mpango yanaruhusiwa kibiblia?
 
Yaan nikiskia MTU anafanya induced abortion I become sick....huwa naomba na huyo mama afe tu yaan.....nachukia sana mnaoua watoto
Naunga hoja koment yako.

Mimi ni PRO-LIFE ...nachukiaga hizi mimtu sana....tena iwe inakufa siku iyo iyo ya kutoa mimba.

Ndomaana huwaga Hawasahau iyo kitu maisha mwao
 
Yaan n mbaya sana ......mwanamke ataishi maisha ya kujuta tu siku zote na ukute pengine dogo angeachwa angekuja kuwa MTU muhimu sana ktk nchi apewayo na Bwana......
Huyo mama akifa sisikiti maana nayy ni muuaji tu
 
Mimi ndo kabisa SINA HURUMA,,, demu kufa kwa kutoa Mimba, ni jambo analostahili.

Nasijui kwann, wanachukulia mimba kama sehem ya kiungo ya mwili wao???

Inaweza kua ni disgraceful mimba , lkn kamwe hatokaa kua Mtoto disgraceful .

Hii inji inatakiwa Ifike mahali kutungwa sheria itakayolinda Roho ya mtu hata kama hajazaliwa.

Alafu now days ,Mademz wamekua wa ovyo sana, kutoa mimba sio inshu..unakuta kadem kameshatoa mimba 2 mpaka 8...ulikaangaLia Uso kamekomaaa
 
Back
Top Bottom