Pendael6410
Senior Member
- Oct 18, 2012
- 154
- 214
😂😂hatari sanaNaona watu wanakwepa majukumu!
Umri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
Umri wa mimba haupimwi hivyo mkuu, unapimwa kuanzia ile tarehe ya mwisho mwanamke kuingia ktk mzunguko wake.Nahisi wiki moja au mbili kutokana na mzunguko wake wa hedhi, kwa sababu tar aliyotakiwa kuanza mzunguko wake haikuwa hivi zikapita siku Tatu zaidi ndo akacheck akajikuta mjamzito ndo maana nasema Ilikuwa na wiki moja au mbili.
Hahahahahaha naona mkuu unatisha watu, mleta mada usisikilize maneno ya huyu mtu.Hizi Misoprostol zitamaliza watu duh....hiyo ni Incomplete Abortion.....na kinachofanya aendelee kubleed ni Retained Products of Conception(mabaki ya mimba)......na kwa hakika atableed hadi abaki mweupe na kuoza ndani taratibu hadi kufa kabisa kama hataenda hospital faster ili wafanye Manual Vacuum Aspiration(MVA) maarufu kama kusafishwa....
Kabisa Mkuu, hapo ni kuongozwa sara ya toba tu.Umri huo ni mtu mzima kabisa sio wa Kufanya kitu kama hicho huna cha kujitetea nenda huko hospital kama ulivyoshauri na baadhi then kaombe rehema kama ni mkristo nenda kanisan muone pastor akuongoze sala ya toba, kwa upande wa waislam watakusaidia, Maana wasema ukiomba mwenyewe huwezi samehewa
Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muacheHahahahahaha naona mkuu unatisha watu, mleta mada usisikilize maneno ya huyu mtu.
Misoprostol inafanya kazi effectively endapo mimba ikawa haizidi miezi 3. Mistro inapaswa kutumiwa kwa njia ya mdomoni ili kuleta ufanisi mzuri, hapa zahitajika vidonge si chini ya 12-15.Kama unadhani ni vitisho basi abaki nyumbani aone...nimeongea fact....waliowahi kupatwa nii shida watashuhudia.....wengi hawajui kwamba Misoprostol hufanya kazi effectively kadiri mimba inavyokua kubwa....i mean receptors zinazo bind na active ingredient za dawa huongezeka mimba inavyokua....so mimba ndogo kutoa kwa dawa hii ni hatari na madhara yake ndiyo kama hayo.....sifundishi watu kutoa mimba hapa tafadhali...natoa somo la bure kwa wenye mawazo hayo....muache
Naunga hoja koment yako.Yaan nikiskia MTU anafanya induced abortion I become sick....huwa naomba na huyo mama afe tu yaan.....nachukia sana mnaoua watoto
Yaan n mbaya sana ......mwanamke ataishi maisha ya kujuta tu siku zote na ukute pengine dogo angeachwa angekuja kuwa MTU muhimu sana ktk nchi apewayo na Bwana......Naunga hoja koment yako.
Mimi ni PRO-LIFE ...nachukiaga hizi mimtu sana....tena iwe inakufa siku iyo iyo ya kutoa mimba.
Ndomaana huwaga Hawasahau iyo kitu maisha mwao
Mimi ndo kabisa SINA HURUMA,,, demu kufa kwa kutoa Mimba, ni jambo analostahili.Yaan n mbaya sana ......mwanamke ataishi maisha ya kujuta tu siku zote na ukute pengine dogo angeachwa angekuja kuwa MTU muhimu sana ktk nchi apewayo na Bwana......
Huyo mama akifa sisikiti maana nayy ni muuaji tu