Kutokwa na damu mfululizo baada ya kutoa mimba

Bora na wewe mama yako angefanya abortion.Ingekuwa heri km usingezaliwa.
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
 
Nani aliwaruhu mtoe mimba hayo ni makosa japo imewahi kunikuta situation ambayo ilibaki kidogo aitoe lakini Mungu aliniokoa sikufanya hivyo
 
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
Ila mkuu kwa nini mfanye hivyo? Una sababu za msingi? Kwani mpenzi wako uwezo wake wa kula ukoje? Kwa sababu usije ukatuletea kisingizio cha kulisha. Wewe unajishughulisha na nini? Na utafanya hivyo kwa wangapi??????.....
 
wahi bro..kabla ya hizo residue hazijakuwa infected..incase ikiwa infected itakuwa ni issue(psychologically) kwake, kwako na kwa familia coz ya procedure atakayofanyiwa..kituo cha afya wataku guide vizur if possible unaweza ukafanya ultrasound kabisa or ukienda kule watakuguide vizur BUT RUDI kwa uyo aliefanya abortion kwanza kama hajui anachofanya nenda kamuone DR.
 
Kuna watu hapa mnatumia condom kila siku mnajua kama mnaua???
Wengine wapiga punyeto wakubwa hapa mnajua kama mnaua? .....mwelekezeni mpite kimya hii dhambi wengi inawahusu hapa
 
Mleta mada angalia mara 2 huu ushauri unakufaa
 
Wengi wanaomshambulia mtoa mada wanaonekana wana uzoefu wa kutoa mimba sana. Muelekezeni vizuri kupitia uzoefu wenu.
 
Kimbilia hospitali haraka sana Maana ataweza kufa na infection walahi
Kutoa mimba ni laana kuu, tegemea kichapo kutoka kwa MUUMBAJI SOON AND VERY SOON WALAHI
Hahahaahahahaha That is ISIS I know Walahi
 
Kuna watu hapa mnatumia condom kila siku mnajua kama mnaua???
Wengine wapiga punyeto wakubwa hapa mnajua kama mnaua? .....mwelekezeni mpite kimya hii dhambi wengi inawahusu hapa
Sie watumia mipira, kupizi nje, njiti,sindano tunajihesabia haki sana sie wasafi ila wengine wabaya sana, Muelekezeni ajue afanye nn kwa sasa
 
Habari wakuu, mpenzi wangu alifanya abortion wiki mbili zilizopita lakini hadi leo anatokwa na damu, akijisafisha anatoa pia uchafu wa damu kama mabonge mabonge naomba msaada kwa hili.
Dah ana bahati sana, wengine huwa wanakufaga. Binafsi siwezi kumshauri mtu aendelee kufanya abortion. Kama imeshindikana asuburi tu ajifungue mana amejitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…