KUTOKWA NA DAMU PUANI.

KUTOKWA NA DAMU PUANI.

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
187
Reaction score
68
Kwema ndugu zangu wana jf.
Niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu, nina tatizo la kutokwa na damu puani mpaka sasa limechukua takribani mwezi mmoja nimejaribu kutumia dawa za dukani lakini tatizo bado linanisumbua naombeni msaada wenu ndugu zang kwa msaada wenu zaid asanteni sana.
 
CC: Chidi Benzi
TID
Wema Sepetu, Ray C
 
ukiwa au ungekua Lushoto Tanga ungeulizia dawa ya kambaku
 
Siwezi kuweka maelezo mengi, ila wahi hospitali hizo sio dalili za kupuuza.
 
Tafuta mwiba wa nungunungu uchome kisha jivu lake livute kama ugoro utasahau yani ila kuupata sasaa
 
Nenda Muhimbili national hospital kuna specialist wa ENT anaitwa Dr mfuko hakika tatizo lako litakuwa limeisha
 
Back
Top Bottom