Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Topic hii mpelekee mwl wako. Ujue hapa kuna mama zako. Usilete maswali dhalilishiNaomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaha. Hapo kuna uzalilishaji gani?Topic hii mpelekee mwl wako. Ujue hapa kuna mama zako. Usilete maswali dhalilishi
Mwambie akamuulize shangazi yake ama bibi yakeNaulixa kwa niaba ya mtu ni mwanamke
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni bint wa umri gani?
Hajafanya kabsa ana muda kama week tatuJe akiwa anafanya tendo la kujamiiana au baada ya kujamiiana damu hutoka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio namaanisha, je akifanya hutokwa na damu au hupata maumivu?Hajafanya kabsa ana muda kama week tatu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahaha mkuu acha basi....hivo ngariba ndiye anahitaji kujua umri?Vipi best naona umekua Ngariba
Siyakudumisa Nkosi Yezulu