Kutokwa na damu ukeni

Kutokwa na damu ukeni

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Topic hii mpelekee mwl wako. Ujue hapa kuna mama zako. Usilete maswali dhalilishi
 
Topic hii mpelekee mwl wako. Ujue hapa kuna mama zako. Usilete maswali dhalilishi
Hahahahaha. Hapo kuna uzalilishaji gani?
Si umueleweshe kwa sababu hili jukwaa naamini ni la watu wazima
 
Ndio kaingia kwenye utu uzima sasa! Kwa lugha ya kule Tanzania wanasema kavunja beseni
 
Huyo binti hana mama, shangazi au dada zake mpaka akuulize wewe?
Naomba kuuliza je hii inasababishwa na kwa bint
Ambaye hajaingia mp unakuta wakat anasafisha uke wake anakuta damu damu kwa mbali!
Naomben majibu jaman ya kitaalamu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Topic hii mpelekee mwl wako. Ujue hapa kuna mama zako. Usilete maswali dhalilishi

Hapa hakuna mtoto na hakuna asiyejua kwan ukienda hospital mwanamke dakct hawez kukuchoma sindan ya kalio

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kashavunja ungo? Ni tatzo la muda gani mpaka sasa,,tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom