Chomx_active
Member
- Nov 27, 2015
- 9
- 9
Poleni na majukumu madaktari, kuna mtu alipoenda chooni asubuhi alipata choo kilichoambatana na damu lakini choo ni kilaini na hili tatizö limemtokea leo sio la mara kwa mara, na yeye ana mazoea ya Kula mboga za majani na Matunda, je tatizo linaweza kuwa ni nini na madhara yake ni yepi?