Chomx_active
Member
- Nov 27, 2015
- 9
- 9
Baada ya Damu kutoka baadaye nilipata kigumu. Lakini kabla ya kupata choo kigumu zilianza damu.choo ulichojisaidia n kigumu??
Duh hahahaha aiseee umetishaaMkuu hata picha?
Pole mkuu,wahi hospitali wapelekee kinyesi wapime.
Kinyesi kilicho changanyika na damu ni dalili ya maradhi ya bawasiri ya ndani unayo nenda katibiwe hospitali hujapona nitafute nipate kukutibia kwa dawa za asili uguwa pole.
Wewe ni muongo!Hiyo ni LOWER GASTROINTESTINAL BLEEDING ambayo ina a lot of differential diagnoses.
Cha msingi wahi hospitali asubuhi na mapema kabla hali haijawa mbaya.
Unforgetable
😂😂😂Namie nahangaika jamani, nisaidieni.
Naona aibu kwenda kwa daktari, kujieleza. Anichungulie mkund.u
Hili lina ukweli kiasi gani?Alafu utakuta wengi wenye matatizo haya wapo maeneo ya kanda ya kaskazini hasa Kilimanjaro kwa sababu ya matumizi makubwa ya viwatilishi kwenye mashamba ya mboga na mazao mengine. Nisha tuone 2021 to 2022
Mkuu ulipona?Nilifanya hivyo kwa bahati mbaya mwezi uliopita. Sikuwa na mazoea hayo basi kabla ya kuflash nikachungulia nikaona matone ya damu. Kuwahi kwa Doctor na checkup nikapata nina ulcers. Naendelea na tiba. Tuwe na tabia ya kukagua iamani.