Kutokwa na maziwa

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.
 
Msogo wa mawazo au aina ya dawa zinaweza kuleta mparaganyiko wa hormones na kusababisha hali hiyo. Tanzania lazima wakupime mimba kwani kutokwa maziwa kunahusianishwa na mimba. Madaktari bingwa wa JF watasaidia zaidi hapa
 
Dah.. ngja niendele kusubiria.
 
Ayo mambo ya kujiita mimi ni mlokole yananikera wakati usikute kuna utitiri wa abortion
siku mkague kama kweli ni bikira usikute sound
Kuna jamaa yangu alipigwa sound na demu eti mimi mlokole kumbe alishatoa mimba za kutosha kiasi kwamba hawezai zaa tena!Alipokuja gundua mbona alimpiga chini faster
Msitumie kivuli cha ulokole when you dont mean it!
 

mbaya nikimwambia kua she might be faking,atalia cku nzma eti simtrust,mara awez kuniacha nipoteze mda wangu bure,anaongea maneno meng,ila ntaufanyia kaz ushaur wako!
 
Du chuchu kuuma ni dalili ya mimba 100% lakini hiyo ya maziwa kutoka sasa nahisi ni issue nyingine, in short it is complicated
 

Kwa experience nlonayo ni kuwa MTU AKITOA MIMBA MAZIWA HUTOKA HATA MWEZ MZIMA. ajieleze vzuri huyo. sipime afya ya familia kwa kuangalia kitabi cha baba. na aliumwa nin! KAUA BILA HATIA HUYO
 
Mkuu shika mkono moja, mbili......mpaka hospitali afanyiwe vipimo ili uondoe dukuduku, kwa nini uhangaike na majibu ya kubuni yaliyojaa kichwani kwako?
 
Mkuu hapo umedanganywa huyo katoa mimba kaka tayari me imewahi tokea ishu ya namna hy!hapo kakudanganya kiongozi chukuwa hatua viumbe hawa ni waongo sana mkuu!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
"mbaya nikimwambia kua she might be faking,atalia cku nzma eti simtrust,mara awez kuniacha nipoteze mda wangu bure,anaongea maneno meng,ila ntaufanyia kaz ushaur wako!"
Muovu huyo ndo maana anakuwa defensive
hawa viumbe never trust them nao wameanza kuwa waongo kama wanaume
 
Kaka huyo anakuzingua coz kama mlishakubaliana msishiriki tendo la ndoa halafu yeye anakuambia amepima mimba!....
Mwambie akueleze vizuri na hawa viumbe huwa wanalia ili umwonee huruma wakati ni bazazi. Maziwa hayawezi kutoka kama mwanamke hana ujauzito. Kwa kifupi huyo mpendwa wako ATAKUWA NI MSANII NA AMETOA MIMBA. pole ila jaribu kumfuatilia kwa ukaribu.
 
Inaweza kuwa dalili ya ductile papilloma, condition ambayo inaweza kuwa na 5% chance ya kuwa kansa in 5 to 10 years. Dr anaweza kuwa alimuambia apime mimba hata kama alimuambia kuwa yeye ni bikira. Mie wakati niko kigori niliwahi kumuomba dr anipime magonjwa ya zinaa kwa sababu nilichanganyikiwa, kumbe naumwa uti tu. Dr alinipima ili niridhike.

Mpeleke kwa breast specialist. Angekuwa anajihisi ana mimba wala asingekuambia anaenda hospitali manake kukudanganya is easier. Kama unahitaji namba ya dr nijulishe kwa pm.
Du chuchu kuuma ni dalili ya mimba 100% lakini hiyo ya maziwa kutoka sasa nahisi ni issue nyingine, in short it is complicated
 
@jawslaw, achana na porojo zetu hapa. Mpeleke babe wako hospitali mwenyewe, ingia nae kwa dr umsaidie. Anahitaji vipimo. Mahusiano ni kuaminiana, usijitie wazimu. Hao wanaokushabikia wenza wao wanatoa mimba na wanakaa kimya wala hawastukiwi. Sikuhizi ukifanyiwa DNCunakuwa hata hujisikii chochote zaidi ya kausingizi tu.
 
Lakini kwa sasa maziwa haya toki tena na jana kaingia bleed,cna uhakika kama ingetoa mimba angeingia bleed hv karibuni.
 

asante,ithnk kesho j5 ndo ntapata mda mzuri niende hospital,ntashukuru kma utanambia hospital nzur kwa hali kama hyo.
 

Mkuu unaibiwa apime mimba ya nini kama hajawahi kukutana na Mwanaume au itakuwa imeingia kwa uwezo wa....... ,akili zako changanya na za kuambiwa chukua hatua...........mapema.
 
Du chuchu kuuma ni dalili ya mimba 100% lakini hiyo ya maziwa kutoka sasa nahisi ni issue nyingine, in short it is complicated
Sio kweli kwamba chuchu kuuma ni dalili ya mimba,wengine wanaumwaga chuchu hata wakiwa wanakaribia period.
 
Jaslaw usiogope kaka kwani we ni bikira? mla vya watu na vya kwake naye uliwa, sio case kutokwa na maziwa si ugonjwa kama unavyopata shaka ni hali ya kawaida sana inayohusiana na uzazi kwa asilimia 80, inawezekana alipata na akatoa mimba. Asilimia 1 inawezekana ni matumizi ya dawa na nyingine zilizobaki sijui.

Mimi nakushauri usiwe limbukeni wa kusema huyu mlokole ama vipi, kuna wachungaji, mapadri na watumishi kadhaa wachakachuaji tunaowafamu katika jamii unachotakiwa kujua kuwa huyo ni mwanadamu sio Mungu na ana hisia zake kamili.

Mpende jirani yako kama nafsi yako, mpeleke hospitali hata kama alipewa mimba akatoa msamehe, songa mbele na maisha anaweza kuwa mama mzuri mbeleni atleast umeshajua kuwa anaweza pata mimba...Kazi ni kwako!
 
Lakini kwa sasa maziwa haya toki tena na jana kaingia bleed,cna uhakika kama ingetoa mimba angeingia bleed hv karibuni.
Naomba unijibu haya maswali nipate cha kukusaidia
1)Hayo maziwa yametoka kwa muda gani?
2)vipi mwezi uliopita afya yake ilikuwaje?
3)mwezi uliopita alipata period?kwa tarehe muafaka?
4)unajua kitu gani kilimfanya apungukiwe damu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…