Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Asalaamaleykum.wanajamvi leo kunakitu ningependa kushare na nyinyi natumain mwishon ntapata ushauri wenu.ok,mimi nna mpenzi wangu,mpenz wangu huyu ni mlokole wa nguvu sana,nimekaa nae kwa mda wa mwaka1,ktk makubaliano yetu ya kimapenzi na huyu dada tulikubaliana kutofanya mapenzi mpka hapo bdae atakapokuakamaliza masomo yake kwni kwa sasa yupo mwaka wa tatu anafanya degree ya sheria.kwa mujibu wake anasema yeye ajawai kukutana na mwanaume yoyte meaning bdo bikira,sasa juzi kati aliugua na pia alikua ana upungufu wa damu,tulienda hospital akapewa dawa.tatizo linakuja, juzi alienda hosptalini tena bila kunambia, alivorudi ndo akanambia kua anatokwa na maziwa pia chuchu zinauma hvyo anahsi dawa alizopewa mwanzon zimezigua,alinambia kua hospital pia ilibdi apime na mimba, sijapata logic yake ya kupima mimb wakati anajua kbsa bdo ni bikra alafu pia naomba kama kuna mtu anieleweshe tatizo ni nini mwanamke kutokwa na maziwa tu hvo?manake nahisi kufanywa zombie mda si mrefu.