Kuna uwezekano hajapona. Akapime tena damu VDRL na pia apime STDs zingine ili awe na uhakika. Ilibidi ndani miezi mitaty asione tena dalili na kwa mwaka mmoja kama alipona akipima haitaonekana.
Hilo ni tatizo la mkojo mchafu ambao huwa manjan o na harufu, jitahidi kunywa maji mengi atleast5ltz kwa day hali itabadilika. NASISITIZA yeyote asiekunywa maji mengi hukumbwa na hali hiyo
Punyeto sio sababu ya mkojo kuwa wa njano, bali unywaji wa maji kwake ni tatizo, na km ni mlevi mwambie aache mara moja, then mshauri nyetoa siyo nzuri sana kiafya na kisaikolojia pia