Kutokwa na mkojo wa njano nini tatizo au madhara yake?

Kutokwa na mkojo wa njano nini tatizo au madhara yake?

Kuna watu kweli mpaka leo wahangaika na sabuni?
Iambie nafsi yako inatosha,mbona wanawake ni wengi kushinda wanaume?
Au unaishi saudia Arabia?
 
Hilo ni tatizo la mkojo mchafu ambao huwa manjan o na harufu, jitahidi kunywa maji mengi atleast5ltz kwa day hali itabadilika. NASISITIZA yeyote asiekunywa maji mengi hukumbwa na hali hiyo
 
Punyeto sio sababu ya mkojo kuwa wa njano, bali unywaji wa maji kwake ni tatizo, na km ni mlevi mwambie aache mara moja, then mshauri nyetoa siyo nzuri sana kiafya na kisaikolojia pia
 
Kuna watu kweli mpaka leo wahangaika na sabuni?
Iambie nafsi yako inatosha,mbona wanawake ni wengi kushinda wanaume?
Au unaishi saudia Arabia?
Anaishi tanzania hii hii
 
Kuna uwezekano hajapona. Akapime tena damu VDRL na pia apime STDs zingine ili awe na uhakika. Ilibidi ndani miezi mitaty asione tena dalili na kwa mwaka mmoja kama alipona akipima haitaonekana.
Ahsante mkuu
 
Hilo ni tatizo la mkojo mchafu ambao huwa manjan o na harufu, jitahidi kunywa maji mengi atleast5ltz kwa day hali itabadilika. NASISITIZA yeyote asiekunywa maji mengi hukumbwa na hali hiyo
Ahsanteeee
 
Back
Top Bottom