Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

Hivi mtoto wako akikuuliza hili swali sijui utamfanyaje? Maana kwa umri wako kama hujui hicho kitu utakuwa na walakini kwenye makuzi.

Ndio walewale wanafunzi wa IFM waliandamana eti kuna watu wanaingia hostel zao na kuwalawiti...

Sasa mnyepe mpe kwanza elimu kijana ndipo lawama zifuate baadae. Wanaijeria wanasema "Chase the wildcat first then blame the hen for wondering in the bush".
 
Last edited by a moderator:

Dah..! kweli Mulugo na Kawambwa walipowafikisha wanetu, Inatia uchungu.
 
Sasa mnyepe mpe kwanza elimu kijana ndipo lawama zifuate baadae. Wanaijeria wanasema "Chase the wildcat first then blame the hen for wondering in the bush".

Me mbona seminary nimesoma kaka
 
Last edited by a moderator:
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

dah! Jukwaa limevamiwa na watoto wanaobarehe. Kutokwa na nyege ndio nn
 
Vaa marlboro ile kuubwa bila pichu. ukiamka mambo yatakuwa safi tu. Shida si una pichu moja na ukiamka imechafuka na hizo nyege? Fua tu hiyo marlboro anika nje na ishara kuwa isitumiwe na mtu kwani ina kazi maalum jioni. Unavaa pichu yako unaenda shule.
Ukikua tu, hutaona tena taabu yako hiyo. Pole sana huo si ugonjwa
 
Kaka izo zarau sasa
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

WEKA PICHA
Maana sijawahi kuziona nyege toka nizaliwe.
 
Wazazi muwe mnazungumza na vijana wenu pale wanapobalehe jamani, ona sasa huyu?

Hongera kijana ndo ukubwa huo, epuka wasichana epuka mapenzi hadi " uwe mkubwa" na maradhi mengi
 
Pole kwa yanayokukuta.

Ila miaka 20 bado uko high school kizazi cha sasa? Anyway!

Ni hatua ya ukuaji kwa vijana wa kiume kutokwa na 'mchuzi' wakati wamelala. (Nimetumia mchuzi kama kiwakilishi tu-babu Asprin atakueleza zaidi)

Mchuzi huo hauitwi nyege.

Cha kufanya sasa ili mchuzi huo usitoke kwa wingi, ni aidha kuanza kushiriki ngono, ila iwe ngono salama. Ila kumbuka 'ngoswe-penzi kitovu cha uzembe, unaweza kushindwa kusoma'

Unaweza ukajihudumia mwenyewe, ila hii ikizidi sana inawezea kukuletea addiction na baadae kushindwa kushiriki kikamilifu ukiwa na mwanamke.

Jambo jingine, waweza jaribu mazoezi.
 
Last edited by a moderator:
Dogo kwa umri huo bado unapita katika kipindi cha kubalehe ambapo mwili unatengeneza mbegu za kiume na sio nyege kama unavyoita wewe, nyege ni hamu ya kufanya tendo la ndoa. Kwa hiyo usione ajabu wote tumepita huko ila unavyokuwa itafika kipindi itaacha na hasa utakapokuwa tayari kuanza mapenzi. nakushauri suluhisho lisiwe kufanya ngono kwa sasa kwani naamini bado una mambo muhimu ya kufanya.

Tuwasaidie jamani wengine kweli hawana wazazi wa kuwaelekeza na hii mitandao bado wanaweza kuitumia kujifunza kutoka kwa jamii yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…