Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

Kutokwa na nyege ninapolala usingizi

Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

Inaelekea km si unga basi mmea plantae au unakunywa uji mwingi sana. Halafu uwe unafunga kamba kibamia chako wakati wa kulala.
 
he... jamani tusimbshambulie, wengine hawana walezi au wazazi wa kuwaelewesha stages za ukubwani; dogo inaonekana hata hajui nyege ni nini, shahawa ni nini, maybe hajui hata kama ni mwanaume au mwanamke

asprin chukua huyo mtoto umlee kiseminary
 
Me mvulana 20
Ndo matatizo ya kusoma day hayo; ungekuwa boarding ungekuwa ushapata experience ta punyeto, wazungu wangetoka wapi!! Anyway, si ushasema 20 lakini! usiogope, ukikua zitaacha!
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2
Aaah nilikuwa nimesahau. Kumbe kuna shule zitafunguliwa mwezi wa 2.
 
mwelekezeni mtoto,si vizuri kumjibu hivyo,ingawa hata mimi nimecheka.
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

Hahahahaaa....!We dogo uko shule gani..!? hivi mnaruhusiwa kwenda na simu shule!?
 
Daaah..!!! Hii thread imenichekesha haijawahi tokea hapa Jf, swali la huyu mtoto chenga tupu na majibu ya akina ODM babu Asprin ndo yamenivunja mbavu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Me nasoma Tusiime High School na haturuhusiwi kwena na cm

Kama uko hapo Tusiime muone Mwl. Kalimuwabu Isdory, ni kijana wangu yule, mwelekeze tatizo lako atakushauri vizuri. Ila hilo sio tatizo kijana, Unasoma combination gani..!?
 
Daaah..!!! Hii thread imenichekesha haijawahi tokea hapa Jf, swali la huyu mtoto chenga tupu na majibu ya akina ODM babu Asprin ndo yamenivunja mbavu kabisa.

Business
 
Last edited by a moderator:
Mi nnauza nyege kwenye vidumu vya lita 5 kwenye kiosk changu so kama unaupungufu wa nyege njoo nipm nikuuzie kwa bei nafuu ili uwe unameza nusu kikombe kabla ya kulala.Ahsante!
 
Kila unapo enda kulala hakikisha umevaa condom maana hujui huyo anaye ito hiyo nyege ni mzima au laa
 
Tatizo langu me ninapolala 2 ucku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege ss ila tendo me silipendi ss nilikua naomba uxhauri nifanye nn ili kisinitokee tena hicho ti2

C.c gfsonwin , Mwanafunzi wako huyo mpe shule ya uzazi kama umetingwa sana m foward kwa Kongosho amkatie nyanga za Reproduction..
 
Hivi mtoto wako akikuuliza hili swali sijui utamfanyaje? Maana kwa umri wako kama hujui hicho kitu utakuwa na walakini kwenye makuzi.

Ndio walewale wanafunzi wa IFM waliandamana eti kuna watu wanaingia hostel zao na kuwalawiti...
 
Hahahahaaa....!We dogo uko shule gani..!? hivi mnaruhusiwa kwenda na simu shule!?

huyu dogo hasomi, elimu ya jinsia inaanza darasa la tano (kwa sie tuliosoma miaka ya mwanzo ya themanini) naskia siku hizi kutokana na HIV inaanza mapema zaidi, na kwenye sayansi darasa la sita pia kuna elimu ya mfumo wa uzazi

this kid hajasoma au ndio wale wa division five... ndio maana nimemuomba asprin amlee kiseminari maana kwa ilmu duniya dogo ana zero

ukiona mtu anaulizwa una nyege za rangi gani, ujue huyo mtu ni kiazi
 
Back
Top Bottom