Kutokwa na shahawa wakati wa kujisaidia haja kubwa

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''.

Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral zone of prostate)' uko karibu na sehemu ya puru ya haja kubwa, kwa hivyo unaposukuma kwa nguvu wakati wa kutoa haja, huongeza shinikizo ya ziada na kugusa ukanda wa tezi dume ambapo husababisha kutokwa na shahawa kwenye uume ikiwa tezi hiyo ni dhaifu.

Chukua hatua kama unapatwa na dalili hizo:
1659092202249.png
 
View attachment 2307957

umenikumbusha kunajamaa alikua ana piziiii wakat wa pepa ya mathematics!! kila mkipga mathematics exam!!

hizi hesabu huwa zinastimulate!!
hasa msimamizi akisema bado dk5 afu ww maswali kama kumi bado[emoji3][emoji3]
 
Umemaanisha sperms as sperms au Ile low simple white fluid ? Maana other doctors wanasema it's normal kama ni Ile fluid but it's a problem only kama utakuwa unadischarge nyingi sana tena regularly. Na mara nyingi hutokea kama una choo kigumu na huja ejaculate kwa muda mrefu ( never had sex in a long time depends on how you usually have sex)

Unaweza kuclarify kidogo BOSS
 
Ahsante. Ni hali ya kumwaga manii bila kusisimka kingono. Ni hali inayotokea bila hiari na wala hakuna msisimko wowote wa ngono. Shida kubwa inakuwa kwenye tezi dume
Hii hali ikiendelea kwa muda mrefu kipi kitatokea
 
Kuna wale wamewahi kusema wanapigaapuli huku wanashit. Vipi hao?
 
Umemaanisha sperms as sperms au Ile low simple white fluid ? Maana other doctors wanasema it's normal kama ni Ile fluid but it's a problem only kama utakuwa unadischarge nyingi sana tena regularly. Na mara nyingi hutokea kama una choo kigumu na huja ejaculate kwa muda mrefu ( never had sex in a long time depends on how you usually have sex)

Unaweza kuclarify kidogo BOSS
Huu ndio ukweli mzima wa suala jenyewe.

Kusema eti hilo ni ttizo ni kujaribu kutengeneza tatizo ambalo halipo wala.

Kinachotokea ni kama 'prostate massage' inayofanywa na kimba lililoshiba vizuri lenye ujazo na kambauzi za kutosha pia. Linaminya na kuondoa majimaji yaliyojikusanya katika tezi kutokana na kutotolewa muda mrefu, au baada ya msisimuko ambao haukupelekea ejaculation iliyokamilika. Hakuna haja ya kuogopa kama una historia ya kutosex muda mrefu.

Njia nyingine mwili unasafisha hizo vitu ni ndoto nyevu.
 
Yeah boss, this is it 👍
 
OKAY MKUU NIMEKUPATA VYEMA
 
Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''.

Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral zone of prostate)' uko karibu na sehemu ya puru ya haja kubwa, kwa hivyo unaposukuma kwa nguvu wakati wa kutoa haja, huongeza shinikizo ya ziada na kugusa ukanda wa tezi dume ambapo husababisha kutokwa na shahawa kwenye uume ikiwa tezi hiyo ni dhaifu.

Chukua hatua kama unapatwa na dalili hizo:
View attachment 2307957
Jibu ndio

Jifunze zaid. Ukifika uliza swali

Back
Top Bottom