OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Umeniwahi nilitaka kuuliza the same. Akijibu unitag.Anapata pleasure wakati zinamtoka?
Duu, ni shida. Chombo ikiwa kwa hewa mara pyuuuuu!!!Shahawa ndio semen fluid? Zinatoka tu chombo ikiwa kwa hewa au imetulia?
Ahsante. Ni hali ya kumwaga manii bila kusisimka kingono. Ni hali inayotokea bila hiari na wala hakuna msisimko wowote wa ngono. Shida kubwa inakuwa kwenye tezi dumeShahawa ndio semen fluid? Zinatoka tu chombo ikiwa kwa hewa au imetulia?
Hatua za kiafya ni pamoja na kuwaona watalaamuHatua gani mkuu ya kuchukua
Ni hali inayotokea bila hiari na wala hakuna msisimko wowote wa ngono.Anapata pleasure wakati zinamtoka?
Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''.
Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral zone of prostate)' uko karibu na sehemu ya puru ya haja kubwa, kwa hivyo unaposukuma kwa nguvu wakati wa kutoa haja, huongeza shinikizo ya ziada na kugusa ukanda wa tezi dume ambapo husababisha kutokwa na shahawa kwenye uume ikiwa tezi hiyo ni dhaifu.
Chukua hatua kama unapatwa na dalili hizo:
View attachment 2307957
Noma sana!Shahawa ndio semen fluid? Zinatoka tu chombo ikiwa kwa hewa au imetulia?
I was about to ask the same question 😅Anapata pleasure wakati zinamtoka?
Hii hali ikiendelea kwa muda mrefu kipi kitatokeaAhsante. Ni hali ya kumwaga manii bila kusisimka kingono. Ni hali inayotokea bila hiari na wala hakuna msisimko wowote wa ngono. Shida kubwa inakuwa kwenye tezi dume
Huu ndio ukweli mzima wa suala jenyewe.Umemaanisha sperms as sperms au Ile low simple white fluid ? Maana other doctors wanasema it's normal kama ni Ile fluid but it's a problem only kama utakuwa unadischarge nyingi sana tena regularly. Na mara nyingi hutokea kama una choo kigumu na huja ejaculate kwa muda mrefu ( never had sex in a long time depends on how you usually have sex)
Unaweza kuclarify kidogo BOSS
Yeah boss, this is it 👍Huu ndio ukweli mzima wa suala jenyewe.
Kusema eti hilo ni ttizo ni kujaribu kutengeneza tatizo ambalo halipo wala.
Kinachotokea ni kama 'prostate massage' inayofanywa na kimba lililoshiba vizuri lenye ujazo na kambauzi za kutosha pia. Linaminya na kuondoa majimaji yaliyojikusanya katika tezi kutokana na kutotolewa muda mrefu, au baada ya msisimuko ambao haukupelekea ejaculation iliyokamilika. Hakuna haja ya kuogopa kama una historia ya kutosex muda mrefu.
Njia nyingine mwili unasafisha hizo vitu ni ndoto nyevu.
OKAY MKUU NIMEKUPATA VYEMAHuu ndio ukweli mzima wa suala jenyewe.
Kusema eti hilo ni ttizo ni kujaribu kutengeneza tatizo ambalo halipo wala.
Kinachotokea ni kama 'prostate massage' inayofanywa na kimba lililoshiba vizuri lenye ujazo na kambauzi za kutosha pia. Linaminya na kuondoa majimaji yaliyojikusanya katika tezi kutokana na kutotolewa muda mrefu, au baada ya msisimuko ambao haukupelekea ejaculation iliyokamilika. Hakuna haja ya kuogopa kama una historia ya kutosex muda mrefu.
Njia nyingine mwili unasafisha hizo vitu ni ndoto nyevu.
Jibu ndioIkiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''.