Kutokwa uchafu mweupe sehemu za siri

Fidelis ucjal mm namshukuru MUNGU nilishapona kitambo saaana ila ucdhani kwamba ni mm peke yng nawezakuwa nasumbuliwa na tatizo hilo bali ni wengi saaana hata wewe labda una tatizo km hilo lkn hujui kwahiyo kupitia jukwaa hili wengi wamepona

Mungu ashukuriwe kwa kupona kwako Utukufu urudi kwake
 
Fidelis ucjal mm namshukuru MUNGU nilishapona kitambo saaana ila ucdhani kwamba ni mm peke yng nawezakuwa nasumbuliwa na tatizo hilo bali ni wengi saaana hata wewe labda una tatizo km hilo lkn hujui kwahiyo kupitia jukwaa hili wengi wamepona
Habari, hiyo dawa ilikusaidia? Mtoto wangu wa kike ana miezi miwili anasumbuliwa na tatizo hilo bila kupona. Nisaidie name ulifanya vipi ukapona. Shukrani zangu za dhati
 
 
Pole sana dada,
Kwa mtazamo wangu:smtym hizi fungus wanatuambukiza wanaume (wapenzi )wetu bila kujua,kwa nature ya maumbile yao ni ngumu kuumia,ila sisi sasa yeast ndo makazi na wana'develop haraka,12 yrs is too long jamani ,mwambie mumeo naye aende hospitali atibu fungus,
NA WANAUME WOTE MJUE HILI,na nature ya uchafu ya BAADHI YENU inatuumiza sisi
MATUMIZI YA CONDOMS (kwangu mimi ni shiiida),nkitumia tu haipiti siku inabidi niwahi kwa doctor for relief,
also,DONT USE ANY SOAP KUOSHA K,kuwa consistent na maji tu,mengi na osha na vidole vyako,
mi nishawahi pata hizo white discharge nashukuru Mungu inapona fasta tu nkienda kwa doc,
Otherwise NJIA NATURAL kuondoa muwasho ni juice ya limao,unanawia kwny K(hii aliniambia gynaecologist kabisa),it works
 
Hiyo ni fungus ungetafuta zile dawa za kuingizaa ndani ya k yako
Halaf usinawie sabuni maji ya uvuguvugu yanatosha hakikisha unasafisha ndani ya k yako na kidole ili uchafu wote utokee
 
yaweza kuwa ni fangasi hizo au hujisafishi vizuri, hakikisha unanawa na maji ya uvuguvugu na antibacteria, ingiza kidole usafishe mara mbili kwa siku

Very very wrong my dear, kutumia detol au ant- bacterial soaps kwenye sehemu za uzazi ni kosa kubwa mno. Viuongo vya uzazi vina yeast na bacteria ambayo ni useful kwenye sehemu hizo ila wasizidi kama ilivyo kwa baadhi ya minyoo tumboni,
Matumizi ya detol au anti- bacteria soaps yanaangamiza bacteria wote ambayo huwa uwepo wao huchangiwa na uwepo wa yeast as they feed each other, meaning Kuna bacteria wanaokula yeast(fangasi) na Kuna yeast wanaokula bacteria. So ni rahisi mno kuangamiza bacteria kuliko fangasi unapotumia sabuni za detol or antibacterial soaps kwenye viungo vya uzazi hivyo kufanya fangasi kujiproduce kwa wingi kwa kuukosa upinzani wa bacteria.
Kikubwa ni kutumia sabuni za kawaida zisizo na antibacterial chemicals otherwise tatizo Hilo litadumu milele.
 

MzizIMkavu mm pia nna tatzo kama hlo, Mwanaume huwa vinatokea vpele vnavyowasha kwnye uume wangu...Msaada tafadhali
 
MzizIMkavu mm pia nna tatzo kama hlo, Mwanaume huwa vinatokea vpele vnavyowasha kwnye uume wangu...Msaada tafadhali
Nenda Hospitali haraka kapime ni dalili ya ugonjwa wa zinaa huo katumie dawa hospitali ikishindikana hujapona njoo hapa unipe feedback nitajuwa nikupe dawa gani. Nenda kachunguze una maradhi gani hayo?
 

Samahan msonobari ndio nn??
 
kuna dawa inaitwa FeriCare. nitafute nikupatie. am sure itakusaidia coz imewasaidia wengi. 0759 077008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…